mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Polisi haupajui?Mange anamwekaga ktk ile list yake,hata mm naamini ,maana jamaa anachokifanya ni kama kutakatisha fedha,amekuja na radio haina hata miaka mitano na haina hata coverage nusu ya tz nzima analeta TV,bora hata redio tungeona imejiimarisha na matangszo ya kutosha,redio yenyewe matangazo ya kuokoteza,hii faida gani ndani ya muda mfupi imefanya azalishe TV?? Huyu naanza kuamini maneno ya Mange,kuuza ngada
Nitajie mtu mwenye utajiri wa halaliIngawa utajiri ni moja kati ya jitihada za mtu binafsi katika kujikwamua na umaskini lakini lazima njia zilizomtajirisha au zinazomtajirisha mtu ziwe halali
hahahahahahahahaha...aiseee vijana mnachuki hatari eti hawana matangazo labda kama sio e-fm ninayo iyongelea mimi..Acha uongo,wana tangazo moja tu la Lake oil ndio linasikika mara kwa mara. Haya matangazo ya Tigo,Voda,Airtel yanasikika mara chache sana na zaidi ya hapo hawana tangazo kutoka kampuni nyingine.
Kwa hiyo kwakuwa kaanzisha radio na TV basi anauza madawa... halafu mkitoka hapo mnasema vijana taifa la leo..wakati hampendani..kiasi hiki.simpendi vibaya vibaya..
Ila nmesema kwa hii hoja nakubaliana nae..
nakubaliana na hoja sio mange kimambi.
Ahaaa Ahaaa mimi Mzaramo wa Msanga Ngongele[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzaramo wewe wa chole ndo maana!
Basi wewe tuwekee ushahidi hapa.Ruttashobolwa
KAMA REDIO AMEWEKA ILI KUBUDRUDISHA JAMII BASI JAMII KAMA WADAU WANAWAJIBU WAKUJUA MTAJI WA BIASHARA HIYO.
NA KWA WALE WATETEZI KAMA NI KWELI MTAJI WA BIASHARA UMETOKANA NA BIASHARA HARAMU BASI UJUE NA WEWE UNASHIRIKI KWENYE KUENDESHA BIASHARA HARAMU KWA KUENDELEA KUSIKIZA HIYO REDIO.
ANGEWEKA REDIO CHUMBANI KWAKE ASIKILIZE NA MKEWE YEYOTE ANGEHOJI NINGEMUONA MNAFIKI LAKINI KWA KUWA NI YA JAMII ANAWAJIBU WA KUELEZA PESA NA MTAJI KAPATA WAPI.
KAMA BIASHARA NA INA MTAJI WA HALALI KWANINI ASIWE MUWAZI SABABU HATA KAMA NI MKOPO KWANINI ASIWE MUWAZI?
PIA HIZO KAMPUNI ZINAZOPELEKA MATANGAZO HAPO NA ZENYEWE KWA NJIA MOJA WANASHIRIKI KWENYE BIASHARA HARAMU KAMA MTAJI UTAKUWA UNACHANZO CHENYE UKAKASI.
ANAVYOKAA KIMYA ANAZIDI KUTUAMINISHA YANAYOSEMWA NI KWELI NA KAMA SERIKALI INAPINGA BIASHARA HARAMU BASI IANZE NA HAWA WAFANYA BIASHARA KUELEZA VYANZO VYAO VYA MITAJI.
BIASHARA LAZIMA IWE NA VYANZO NYEMA VYENYE MAADILI NA SIYO BIASHARA HARAMU.
MIMI SISEMI UNGA TU KUNA WATU WAMEANZISHA BIASHARA KUPITIA MITAJI YA BIASHARA HARAMU ZA MENO YA TEMBO, PEMBE ZA FARU, UNYANG'ANYI NA NYARA ZINGINE ZA SERIKALI LAZIMA WAWAJIBISHWE NA SERIKALI KUPITIA VYOMBO VYAKE VYA DOLA.
ANASHUTUMIWA KWA USHAHIDI GANI ULIOWEKWA MPAKA TUAMINI HIZO TUHUMA? HADI SASA NI MANENO TUU..HATA HUYO MANGE SI ALIANDIKA MANENO KAMA MTOA MADA?Ruttashobolwa
ACHA UTOTO WEWE MIMI NDIYO MWENYE BIASHARA MPAKA NIWEKE USHAHIDI?
YEYE NDIYO ANASHUTUMIWA NA SABABU BIASHARA YAKE INAHUSU JAMII KIMAADILI ANATAKIWA AJISAFISHE, HAKUNA NGONJERA WALA SIASA HAPO.
ANA WAJIBU WA KUJISAFISHA NA KAMA NINGEKUWA NATAKA KUJUA UKWELI NAJUA NINI NAWEZA KUFANYA KIKAMLAZIMISHA KUJA KUELEZA UKWELI.
hatuna helahahahahahahahahaha...aiseee vijana mnachuki hatari eti hawana matangazo labda kama sio e-fm ninayo iyongelea mimi..
Kwa hiyo kwakuwa kaanzisha radio na TV basi anauza madawa... halafu mkitoka hapo mnasema vijana taifa la leo..wakati hampendani..kiasi hiki.
Kama kuuza unga ni rahisi kiasi hiki kwanini nanyi msijaribu kuuza?
ANASHUTUMIWA KWA USHAHIDI GANI ULIOWEKWA MPAKA TUAMINI HIZO TUHUMA? HADI SASA NI MANENO TUU..HATA HUYO MANGE SI ALIANDIKA MANENO KAMA MTOA MADA?
Siku millard akiibuka na Tv/radio station yake mtakuja na suspection za ajabu ajabu kama hizi,pigeni kazi ndugu zangu msingi wa mafanikio ni kujituma sio kila siku kukesha hapa jf kubishana kiba na mond nani mkali na kusahau kufanya kazi kwa maarifa teh teh teh teh.....Kutoka kuwa Dj,hadi kuwa mmiliki wa media. Kuna kitu cha ziada alikuwa anakifanya wakati wa U dj kinyume na hapo maswali magumu yanamuhusu.
Jiulize ww utajiri wako utaupataje ya watu yatakushinda.[emoji12]Majee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mm enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari... Miaka mingi imepita I think less than ten years nakuja kusikia mchizi ana miliki kituo cha radio kutahamaki kituo cha Televisheni hiki hapa...sitaki ku sound kama mchawi hapa ila ni vizuri umma tukajua source ya utajiri huu je ni personal equity ama ni debt from financial institution... Mara kwa mara Mange Kimambi kupitia kwenye page yake ya Instagram amekua akimtuhumu Majizzo na biashara flani flani hivi.
It is high time Majizzo to come out and inform the public source of his wealth...
Kweli mkuu hawawezi kuelewa hii thread wanafikiri tunapinga mafinikio ya Majizzo.. Hapana tunataka kujua source ya wealth yake maana tetesi zipo mtaani..Ngumu kuelewa.