Mkuu naamini ujanielewa,UNGENIELEWA USINGEANDIKA HIVI.Siku millard akiibuka na Tv/radio station yake mtakuja na suspection za ajabu ajabu kama hizi,pigeni kazi ndugu zangu msingi wa mafanikio ni kujituma sio kila siku kukesha hapa jf kubishana kiba na mond nani mkali na kusahau kufanya kazi kwa maarifa teh teh teh teh.....
Kwani we aliyekwambia efm ni ya majizzo nani? Mbona mkaka wa watu mnamsakama bure wakati yeye ni msimamizi wa kituo?Kweli mkuu vichwa panzi hawawezi kuelewa hii thread wanafikiri tunapinga mafinikio ya Majizzo.. Hapana tunataka kujua source ya wealth yake maana tetesi zipo mtaani..
kumbe kwenye mada za nje ya siasa akili zinawarudiaKwa wanao sikiliza E-fm watashangaa sana tena ukisema ina matangazo ya kuokoteza....
Jamani tuache chuki zisizo na tija E-FM kwa sasa ina sikika Dar tuu lakini ni moja ya radio yenye matangazo mengi sana....kuwa mkweli... hawa jamaa wana jitangaza sana tena sana hasa Dares-salaam... wamejitangaza na wanasikilizwa sana tena sana...
Mwaka huuu anapata frequence nyingine zaidi ya tisa tanzania.... tuache chuki lakini kama tuna ushahidi mtu ana uza unga tuweke hadharani sio kuweka visingizio kwakuwa kaanzisha radio basi anauza unga....vijana kama kuuza unga na kufanikiwa ni rahisi kiasi hiki kwanini vijana bado mnalilia tuu? uzeni na nyinyi tuone kama mtahimili haya mnayoyasema...
Acha kulisha watu matangoporu.... Mmiliki wa DTV ni Azim Dewij, anamiliki na CTV, Channel Ten Na Magic FM vilevile... Majizzo alikua mfanyakazi pale, Kama alivyo mfanyakazi pale EFm na TV. Nenda kaulizie mwanamke anayeitwa Mama Sweya ni nani utapewa info za kutosha... Huyo ndo mmiliki wa mzigo wote... Issue za majizzo kuuza ngada mnamsingizia bure mkaka wa watu.Kama mnakuwa hamjuwi mambo mnakuwa mnauliza! Majay amekuwa mmilikiw wa DTV kwa miaka 4 na ilikuwa ikifanya vizuri saana alikuwa na matangazo mengi sana vivyo hivyo UEFA ilimpa mkwanja mwingi sana! Haitoshi Majay ni mmiliki wa Clubu kubwa tanzania inamatawi mengi nchi mzima ya Maisha Clubu! Kampuni yake ya E mstrs imekuwa ikiingiza mkwanja sana kwa kuleta wasanii wengi toka nje sasa kama watu hamjuw DTV ilikuwa ya majizo na vifaa vyake vyote vilikuwa mali yake! Baadae aaachana nayo now ana ETV
Le MutuzNitajie mtu mwenye utajiri wa halali
Kweli unaijua hii issue vilivyo. Majizo ni puppet tu pale. Nimecheka sana niliposoma Wazandiki wameandika eti ndio mmiliki wa Maisha Club zote...hahaha. Jambo usilolijua ni Kama usiku wa ngono.Acha kulisha watu matangoporu.... Mmiliki wa DTV ni Azim Dewij, anamiliki na CTV, Channel Ten Na Magic FM vilevile... Majizzo alikua mfanyakazi pale, Kama alivyo mfanyakazi pale EFm na TV. Nenda kaulizie mwanamke anayeitwa Mama Sweya ni nani utapewa info za kutosha... Huyo ndo mmiliki wa mzigo wote... Issue za majizzo kuuza ngada mnamsingizia bure mkaka wa watu.
Huyo Mama Sweya ndio yule aliyempa kiburi Mr. Nice enzi zake akiwa TBL?Acha kulisha watu matangoporu.... Mmiliki wa DTV ni Azim Dewij, anamiliki na CTV, Channel Ten Na Magic FM vilevile... Majizzo alikua mfanyakazi pale, Kama alivyo mfanyakazi pale EFm na TV. Nenda kaulizie mwanamke anayeitwa Mama Sweya ni nani utapewa info za kutosha... Huyo ndo mmiliki wa mzigo wote... Issue za majizzo kuuza ngada mnamsingizia bure mkaka wa watu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Le Mutuz
Tatizo humu watu wanatoa habari vijiweni na kuzileta hapa... Toka lini Majizzo kawa mmiliki wa maisha club? Wakati efm imefunguliwa walileta propaganda hapa eti in radio ya lady jay dee... Hahahaha....Kweli unaijua hii issue vilivyo. Majizo ni puppet tu pale. Nimecheka sana niliposoma Wazandiki wameandika eti ndio mmiliki wa Maisha Club zote...hahaha. Jambo usilolijua ni Kama usiku wa ngono.
Yaa, na ndo mmiliki wa disco maisha basement, na maisha club mtwara na Dodoma.Huyo Mama Sweya ndio yule aliyempa kiburi Mr. Nice enzi zake akiwa TBL?
Kweli kabisa mkuu..hahaTatizo humu watu wanatoa habari vijiweni na kuzileta hapa... Toka lini Majizzo kawa mmiliki wa maisha club? Wakati efm imefunguliwa walileta propaganda hapa eti in radio ya lady jay dee... Hahahaha....
Watu mna Data mpaka mnatisha.Huyo Mama Sweya ndio yule aliyempa kiburi Mr. Nice enzi zake akiwa TBL?
HahahahahahahahhahahhahSiri za utajiri wa matari, wanazo masikini, lakini hawatajiriki
Tupe history ya huyo mama kidogoE-FM ni ya mama Sweya mmiliki wa maisha club... Majizzo wapambe tu... Kama clouds mpambe rugemalira ila mmiliki joe kusaga (kusaga family)
Ujinga huuTafuta Cha kwako....ukishajua siri za utajiri wake alafu utafanya nini?!
Role Model wako Mange Kimambi kishakwambia anauza Unga na wewe unavyomuamini Mange umeamua kukubaliana nae sasa unatuuliza maswali ya kutuchora ili iweje?!