Changamoto2015
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 773
- 314
Mkuu tatizo ni kuwa sijawahi kusikia tena hawa waliohimiza watu kununua wakifanya mikutano ya mwaka au kusema chochote..hata jina la NICOL sasa hivi ni msamiati..Kipindi kile kampeni zilipigwa hadi makanisani watu wakanunua..ndo nakumbuka mzee alinunua za laki mbili na maza za laki moja.. sasa mbona hawasemi chochote? ukiangalia hata wawekezaji wa DSE mbona hii NICOL haiko popote? kama walivyo UTT? ilifia wapi? ngoja nifuatilie
Wenye malengo wamenunua tayariWanatafuta kick za mwisho mwisho hawa. Hisa asilimia ngapi zimeuzika?
Alifikiri amenunua maandazi mtoto badala umsaidie Baba unakuja huku kutoka povu ungechunga ng'ombe shule haijakusaidia eeeehMzee wako aangalie thamani za hisa za NICOL. Ni wazi zimepanda. Kama zimepanda ndivyo na hela yake imepanda. Anaweza kuamua kuziuza akapata pesa zake.
wakuu nipeni mungozo japo mdogo kwani nina nia ya kununua .but nina elimu ndogo ya manunuzi y hisa je opoje..? na faida inapatikana vipi ?kila mwaka? mwezi au inakuwaje..nataka kwenda kununua kabla y dead line asante mkuu.
wakuu nipeni mungozo japo mdogo kwani nina nia ya kununua .but nina elimu ndogo ya manunuzi y hisa je opoje..? na faida inapatikana vipi ?kila mwaka? mwezi au inakuwaje..nataka kwenda kununua kabla y dead line asante mkuu.
Halafu kodi wanalipa kiasi gani? Hii mitandao ndio wanatumia weakness za TCRA kuiibia hii nchi sana, hili eneo linatakiwa liangaliwe kwa uangalifu na serikali badala ya kutumia muda mrefu kupambana na wakina Lema na Roma mkatoliki.
Jamaa unasababisha moyo wangu kutabasamu kwa hisa zangu nilizonunua voda.Unajua wao haikuwa kampuni ya uzalishaji bali ni umoja wa watanzania walioamua kukusanya mtaji na kununua hisa katika mashirika ya serikali yaliyokuwa yakiuzwa. Baada ya kupata mtaji walinunua hisa NMB, na mashirika mengine sina uhakika TBL na CRDB au TOL maana haya yaliuza hisa kabla ya NICOL kuanza. Hivyo basi kila hisa za NMB zikipanda nao zao zinapanda kwa uwiano halkadharika kama waliwekeza kwingine. Mbali ya kupanda kwa thamani ya hisa,hupata gawio la faida kwa hisa.
Ukiwa na hela ni kununua na kuitunza huko. Mfano mwaka ule hisa za TBL zilikuwa 550 kwa hisa moja. sasa hivi hisa moja ni 12,500/=. Kama unazo hisa 100 utakuwa ulitoa 55,000/= sasa ni 1,250,000/=. Hapo achilia mbali gawio la faida.
Kwa vodacom wapo vizuri na bila Shaka wanalipa kodi ya serikalini bila Kikwazo chochote na ndio maana imeendelea kusustended katika soko la mawasiliano nchini.Halafu kodi wanalipa kiasi gani? Hii mitandao ndio wanatumia weakness za TCRA kuiibia hii nchi sana, hili eneo linatakiwa liangaliwe kwa uangalifu na serikali badala ya kutumia muda mrefu kupambana na wakina Lema na Roma mkatoliki.
Aisee!Nikikumbuka zile hisa za NICOL nachoka kabisa..nazo zilipigiwa debe hivi hivi.. wazee wangu wakanunua za laki tatu kipindi hicho..hadi leo wamebaki na yale makaratasi wametunza
Kipindi cha nyuma na kukosekana kwa mitandao nao ilikuwa ishu. Sasa ivi unanunua Hisa na unaona katika Mitandao zinavyopanda na kushuka,Alifikiri amenunua maandazi mtoto badala umsaidie Baba unakuja huku kutoka povu ungechunga ng'ombe shule haijakusaidia eeeeh
Thamani ya hisa za NICOL zinaongezeka wapi ndugu yangu? Nicol haipo hata listed DSE tena hakuna taarifa yoyote kwenye tovuti ya DSE yaani ni kama imepotea kabisa na haikuwahi kuwepo. Nchi ya miujiza.Fuatilia tena kwa nguvu kwani kuna kesi mahakamani miongoni mwa viongozi. Yapo makundi mawili.
Hali ya kampuni ipo vizuri kwani thamani ya hisa inaongezeka.
85000 ndo minimum na kuna hela wanakata kwenye airtime yako kama 500 kila unapotumia ile menu ya DSE.Kila nikitaka kununua wanasema una kiwango cha kutosha wao wa nataka shiling ngap
Deadline ya kwanza imekuja imepita, hisa hazijauzika, yapili nayo ndo leo, tutaona kama hizi promo za humu zimewasaidia kuuza hisa zote, hadi waziri mkuu naye wamemgeuza marketer hii ni hatari sana maana wananchi wanaweza kuidai serikali wakiingia hasara. Ila nikiangalia tovuti ya DSE naona dalili kuwa wanataka waongeze muda tena ila sina uhakika tuone leo watasemaje.Kiki gani hapo hao wengine wapo wapi??!endelea kuwamtamaji wenzio wanasonga mbele kwa kuwekeza katika fursa mbalimbali kama hii ya kununua hisa.
Kuandikwa DSE sikumbuki kama NICOL iliwahi andikwa huko. Kampuni hiyo lengo kubwa ilikuwa wanunue hisa kweye makampuni na mashirika yaliyokuwa yanauzwa. Nakumbuka lengo walikuwa wanunue asililimia 4 ya hisa za NMB zilizotolewa kwa wananchi na walinunua hisa NMB ila sijui ni asilimia ngapi. Kufanya vizuri kwa NMB ni mafanikio ya NICOL pia.Thamani ya hisa za NICOL zinaongezeka wapi ndugu yangu? Nicol haipo hata listed DSE tena hakuna taarifa yoyote kwenye tovuti ya DSE yaani ni kama imepotea kabisa na haikuwahi kuwepo. Nchi ya miujiza.
NICOL ilikuwa listed DSE mpaka tarehe 6th July 2011 ambapo iliondolewa kwa kutofuata masharti ya kuripoti mahesabu yao ya mwaka.Kuandikwa DSE sikumbuki kama NICOL iliwahi andikwa huko. Kampuni hiyo lengo kubwa ilikuwa wanunue hisa kweye makampuni na mashirika yaliyokuwa yanauzwa. Nakumbuka lengo walikuwa wanunue asililimia 4 ya hisa za NMB zilizotolewa kwa wananchi na walinunua hisa NMB ila sijui ni asilimia ngapi. Kufanya vizuri kwa NMB ni mafanikio ya NICOL pia.
Pamoja na mgogoro wa uongozi uliopo mahakamani, bado wako vizuri thamani ya mtaji wao inakuwa. Sijajua kama waliisha toa gawio.
Sina taarifa mpya sana. Sikuwahi kuwa mwanahisa ila nimekuwa nikiwafuatilia. Mara ya mwisho nimewasikia wakiwa mahakamani na huko nilipata taarifa ya kuwa wanaendelea vizuri japo gawio walikuwa hawajatoa.NICOL ilikuwa listed DSE mpaka tarehe 6th July 2011 ambapo iliondolewa kwa kutofuata masharti ya kuripoti mahesabu yao ya mwaka.
Naona wamelaunch website yao mpya now, labda wanahisa mtuambie management wanawaambia nini? Wamepata faida? Kuna dividend inatoka? Share moja ina value gani kwa sasa hivi?
Ilete mkuu. Wanyonge tuponeWajipange sana maana hicho chanzo chao cha mapato cha 22% nakuja kukiua, naleta huduma rahisi na nyepesi kuliko m-pesa, na yenye gharama nafuu mno, mtu utakua unahamisha milioni unalipa 500 tu sio wao wana makato ya kijinga huku tech yao yenyewe haina chochote special, ni database tu wanabadilisha namba as you move money, tena unreliable database coz inasumbua karibia kila wakati.