Siri ya Waislamu kuwa na Amani kuliko watu wengine hapa duniani

Unaweza kua upo sawa ila huja sema unalinganisha na watu wa imani gani?
 
Qur’an 2:191
“Waueni popote mtakapowakuta, na watoeni walikokutoweni…”
 
Qur’an 47:4
“Mtakapokutana na waliokufuru vitani, wapigeni shingoni…”
 
“Nimeamrishwa nipigane na watu mpaka waseme hakuna mungu isipokuwa Allah…”
(Sahih al-Bukhari, Sahih Muslim)

Uislamu unasema watu walazimishwe kuingia Uislamu au wauwawe.
 
Qur’an 9:29
“Piganeni wale waliokuwa Watu wa Kitabu ambao hawajikubali hila ya Chetu hadi watoe kodi au wakubali kuwa dhaifu.”
 
Hadith – Ibn Majah
Mtume (ﷺ) alisema: “Nitawapiga hadi wamuone kuwa hakuna mungu isipokuwa Allah.”
 
Qur’an 5:33
“Adhabu ya wale wanaopigana na Allah na Mtume wake, na kufanya udhalilisho duniani, ni kuuliwa au kukatwa mikono na miguu… au kufungwa ndani.”
 
Quran

66:9 - Ewe Nabii! Pambana na makafiri na wanaafiki, na kuwa mgumu kwao! Na makaazi yao ni Jahannamu. Na hayo ni marejeo mabaya
 
Quran 2:190 - Na piganeni katika Njia ya Mwenyezi Mungu na wale wanao kupigeni, wala msianze uadui. Kwani Mwenyezi Mungu hawapendi waanzao uadui.
 
Quran 2:191 - Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…