Mwakumbuka Mzee Thabit Kombo alitoa usia gani? kama unajua then ndiyo maana ya amani kuwepo Zanzibar na yeyote atakaye tengua usia wake mtajuta na kujutia!!!!!!! if you do not know ask Mr Honorable Ali Karume na wazee wengine wa heshima wa Zenj ambao wanaipenda kwa dhati the Zenj, sisemi zaidi(no more no less).Kuna siri gani mkuu?
Mbna sheli sheli ni kadogo zaidi ya zanzibar ila aman imetawala
Hayo mapungufu ya kubaguana kwa dini na kabila ni ujinga wetu binadamu tu