Ni chama cha mbeleko, kinabebwa kama katoto kadogo wakati ndio kikongwe kuliko vyengine.c mlisema kingekufa 2015,afu nani kakudanganya kanu imekufa?
Link Tetesi: - CCM inawaka moto kwa ndani, siku si nyingi yataibuka makubwa
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema kuwa mpinzani yataka moyo na mtu yeyote aliyepo upinzani anatakiwa kuwa mvumilivu kwa sababu katika upande huo hakuna ‘mteremko’.
Kiongozi huyo ambaye kwa sasa yupo Chadema amesema kuwa katika chama cha upinzani ni kazi kubwa inayohitaji moyo wa uvumilivu kuliko mtu aliyepo CCM.
Link2. Sumaye: Upinzani kugumu kuliko CCM