Tetesi: Siri ya Zanzibar ni nzito hakuna awezaye kuisema wewe ni nani?

Kuna siri gani mkuu?

Mbna sheli sheli ni kadogo zaidi ya zanzibar ila aman imetawala

Hayo mapungufu ya kubaguana kwa dini na kabila ni ujinga wetu binadamu tu
Mwakumbuka Mzee Thabit Kombo alitoa usia gani? kama unajua then ndiyo maana ya amani kuwepo Zanzibar na yeyote atakaye tengua usia wake mtajuta na kujutia!!!!!!! if you do not know ask Mr Honorable Ali Karume na wazee wengine wa heshima wa Zenj ambao wanaipenda kwa dhati the Zenj, sisemi zaidi(no more no less).
 
Mkuu ungesema wewe na mimi ndio hatuijui siri hiyo. CCM wanaijua siri na wako tayari watu wafe kwa ajili ya aina ya muungano uliopo hata kama kuna muungano bora unaobeba matarajio ya wengi.
 
Kihistoria zanzibar ni nchi tajiri iliyoibeba Tanganyika kiuchumi but currently ni kama wamekuwa tegemezi waliogawanyika kifikra wakishindwa kusimama kwa fikra zao
Maajabu ya dunia na bado ukafaulu O level na Advanced level daaaah.....
 
Maajabu ya dunia na bado ukafaulu O level na Advanced level daaaah.....
Huwezi KUYAJUA haya kwa sababu ya UPOFU wa akili ulionao.Wakati wazanzibari wakimiliki TV majumbani kwao ni MTANGANYIKA mmoja tu aliyekuwa na TV akiitumia kutolea maono.Kwahiyo wewe kama KIWILIWILI huna kosa lolote tatizo ni huo upofu wa ubongo uliokukumba
 
Hakuna lolote la maana uliloeleza ndugu. Zanzibar ni salama sana nje ya Muungano wala msiwatishe. Muungano una miaka 52 tu wakati taifa la Zanzibar lilikuwepo zaidi ya miaka 1000+; je kipindi chote hicho zanzibar haikuwa salama? Watanganyika tusipende kuwatisha hao watu kiasi cha kuwafanya wafanye wanayoyafanya ambapo leo yanatugharimu huku Tanganyika.

Wewe ukitaka ardhi njoo huku malinyi kwa sasa tunaendelea kuandaa mashamba ya mpunga ukifika omba uanakijiji, jiandikishe kijijini tutakupatia ardhi; hiyo ya wapemba wenyewe haiwatoshi huko wewe waitakia nini?
 
Kuna siri gani mkuu?

Mbna sheli sheli ni kadogo zaidi ya zanzibar ila aman imetawala

Hayo mapungufu ya kubaguana kwa dini na kabila ni ujinga wetu binadamu tu
Sheli sheli ni kama Pemba, au Unguja au...!kwa hiyo Zanzibar ni salama ndani ya Muungano, nje haitakuwa ZNZ, nje ya muungano ili iwe salama itakuwa nchi ya Pemba, Nchi ya Unguja na kuendelea kama alivyosema mwalimu JKN
 
Huu uongo wako ndio unasababisha mnapora ushindi wa Maalim Seif , na hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu ataukubali , tutapambana mpaka tone la mwisho , yaani Wazanzibar wasilijue hili ila ujue wewe mlima mtama wa kondoa ?
 
Kihistoria zanzibar ni nchi tajiri iliyoibeba Tanganyika kiuchumi but currently ni kama wamekuwa tegemezi waliogawanyika kifikra wakishindwa kusimama kwa fikra zao
Wazanzibar wote ni wamoja , na ndio maana kwa umoja wao waliamua kumpa urais Maalim Seif oct 25 , bali shida ya zanzibar ni ukoloni wa kisasa .
 
Kumbe point yako ni kunyimwa ardhi Zanzibar hapo nimekuelewa mkuu ila ulitakiwa ujue kama Zanzibar ni nchi kamili inayotawaliwa na mkoloni mweusi (Tanganyika) na iko cko Zanzibar itapata Uhuru wake kama walivyopata Sudan kusini, Viva Zanzibar (freedom is coming tomorrow)
 
Ni kama vile unamaanisha WAPEMBA na si Wazanzibar
Kwa maelekezo ya tume ya uchaguzi , matokeo yote ya uchaguzi wa Rais , madiwani , wawakilishi na wabunge yalibandikwa nje ya vituo vya uchaguzi , jaribu kuyafuatilia uone kama waamuzi wa haya walikuwa wapemba au wazanzibar .
 
Hakuna siri nzito Bali ni siasa nzito tu
 
Kwa maelekezo ya tume ya uchaguzi , matokeo yote ya uchaguzi wa Rais , madiwani , wawakilishi na wabunge yalibandikwa nje ya vituo vya uchaguzi , jaribu kuyafuatilia uone kama waamuzi wa haya walikuwa wapemba au wazanzibar .
Nafuatilia mkuu nitarudi
 
Hivi uongo mmeurithi kwa wazee wenu wengine wamefika mbali kusema nje ya muunyano znz itakuwa taifa la dola ya kiislam nje ya muungano znz itazalisha magaidi

Juzi Dodoma mmechomana moto scorpion anawatoa watu macho

Mfugaji na mkulima hawakai chungu kimoja
Mzee mwenye macho yenye wekundu anaitwa mchawi anauliwa

Albino anaoneokana bidhaa adimu haya yote yanafanyika katika ardhi yetu tukufu inayoitwa Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…