Tetesi: Siri yafichuka CCM juu ya ukatibu mkuu. Abdallah Bulembo aandaliwa kuchukua nafasi hiyo kiurafiki na uswahiba

Mstakabadhi [emoji735]
Mustakabali [emoji736]
 

Bulembo hana historia iliyotukuka kwenye chama!!??
Hujui ulicho andika
 
CCM inawanyima usingizi na kuwavuruga CHADEMA mpaka 2020 CHADEMA chali.
 
Katibu mkuu atakuwa

Roderick Mpogolo.



huyo bulembo hana shule ya kutosha, ova
 
Inatusaidia nini hiyo siri katika jamii yetu yenye yenye fikra mpya? Hizo unazoleta ni siasa na siasa mpaka 2020 badili uimize jamii kupenda kazi na kufanya kazi. Wewe unatueleza habari ya siri kweli?

Mungu atujalie aiseee ila kazi ipo kwa taswira hii noma.
 
Nyie ni ma-CCM mafailure ondokeni mmeshakichafua Chama kwa muda mrefu. Kama Bulembo hawezi mbona hao hao wanaojidai kuitoa CCM shimoni hawakutufafanulia vyema lini Chama kilianza kuwa shimoni - ni kuanzia utawala wa nani? Na ni nani walikuwa Makatibu Wakuu wa CCM?
 
Huyo Zero Bulembo angejua...angebakia na Ubunge wake wa kupewa tu!!!! KM atapwaya na atakuwa screen remote wanayo wengine wasio busara kuleee beach.....
 
Habari na hadhi nyiingi
Hiii ndo siasa umetimiza nawe wajibu wako wenye chama wataamua anafaa au hafai
 

Timu ya mtu mbili kipindi cha kampeni nani asiyejua kazi yake? Naona mahindi yameanza kuiva karibu yatageuka pop corn. Watu wanakaba kila kona, mtatokaje kwa mfano? Lazima mjisaidie nguoni dadeeki. Mnatamani 'jangili' aendelee.
 
Ninapita tu. ngoja waje bavicha na Uvccm hapa.
Tumekuja mkuu , ni hivi , kwa sasa ccm inahitaji KATIBU MKUU atakayeweza kudumisha fikra ZOZOTE ZA MWENYEKITI , na kiukweli hapo Mheshimiwa Bulembo anafit kabisa .
 
Mgambo wanaruka na kukanyagana.

“Colonialism dug its own grave” — too bad
 
Kinana ajiandae kunyang'anywa mashamba yake maana akijiuzulu ataitwa msaliti wa jitihada, anawasaidia mabepari wa nje, mnufaika wa ufisadi na kadhalika
 
Chama cha mapinduzi kinaenda kugawana mbao muda sio mrefu kulingana na watabiri na wajuvi wa mambo ya siasa
Kinafia pale ferry na lile jemgo jeupe ajitoka jamaa ccm waliite kaburi ya jenbe ponda na
Mnyundo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…