Tetesi: Siri yafichuka CCM juu ya ukatibu mkuu. Abdallah Bulembo aandaliwa kuchukua nafasi hiyo kiurafiki na uswahiba

Tetesi: Siri yafichuka CCM juu ya ukatibu mkuu. Abdallah Bulembo aandaliwa kuchukua nafasi hiyo kiurafiki na uswahiba

Hizo ni tetesi zenye chembe chembe za ukweli kwa zaidi ya 99%.
Watu wengi walio karibu na Abdallah Bulembo wanakiri kuwa, jamaa ndio katibu mkuu mpya wa CCM.

Ni suala la muda tu, kila kitu kiko wazi sana.
 
Bulembo darasa la saba jamani
Naomba katibu wa itikadi na uenezi awe Joseph Msukuma.
 
Hivi nimesikia Mangula ameanza kuaga , yeye ameamua kutoka?? Naomba anaejua asaidie.....akitoka Mangula itakuwa shida endapo atawekwa Bulembo....maana hawataendana na Naibu wake!!! Labda Mangula awepo
 
Kwa jinsi huyo mtoa siri anavyoongea bila shaka ni
B.M
 
Back
Top Bottom