REJESHO HURU JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 4,664 Reaction score 9,929 Oct 10, 2017 #41 Mtashangaa sasa chama anapewa bashite, ili mshike adabu
Zanzibar-ASP JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 11,550 Reaction score 40,697 Oct 10, 2017 #42 Hizo ni tetesi zenye chembe chembe za ukweli kwa zaidi ya 99%. Watu wengi walio karibu na Abdallah Bulembo wanakiri kuwa, jamaa ndio katibu mkuu mpya wa CCM. Ni suala la muda tu, kila kitu kiko wazi sana.
Hizo ni tetesi zenye chembe chembe za ukweli kwa zaidi ya 99%. Watu wengi walio karibu na Abdallah Bulembo wanakiri kuwa, jamaa ndio katibu mkuu mpya wa CCM. Ni suala la muda tu, kila kitu kiko wazi sana.
O omusimba JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 310 Reaction score 78 Oct 10, 2017 #43 Bulembo darasa la saba jamani Naomba katibu wa itikadi na uenezi awe Joseph Msukuma.
tweenty4seven JF-Expert Member Joined Sep 21, 2013 Posts 15,863 Reaction score 19,626 Oct 10, 2017 #45 Huyo bulembo elimu yake tata,kweli chama kimekosa dira
S skylumu JF-Expert Member Joined May 14, 2017 Posts 210 Reaction score 106 Oct 10, 2017 #46 kumbe ni gossip tu? tusubiri tuone!
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Oct 11, 2017 #48 Hivi nimesikia Mangula ameanza kuaga , yeye ameamua kutoka?? Naomba anaejua asaidie.....akitoka Mangula itakuwa shida endapo atawekwa Bulembo....maana hawataendana na Naibu wake!!! Labda Mangula awepo
Hivi nimesikia Mangula ameanza kuaga , yeye ameamua kutoka?? Naomba anaejua asaidie.....akitoka Mangula itakuwa shida endapo atawekwa Bulembo....maana hawataendana na Naibu wake!!! Labda Mangula awepo
Mhdiwani JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 650 Reaction score 712 Oct 11, 2017 #49 Kwa jinsi huyo mtoa siri anavyoongea bila shaka ni B.M
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Oct 11, 2017 #50 Kinana amezira anasema CCM inaburuzwa na mwenyekiti kama kiberenge kibovu
sawariya JF-Expert Member Joined Apr 9, 2015 Posts 382 Reaction score 350 Oct 11, 2017 #51 Ndahani said: Siasa huwa zinakera sana. Watu walikuwa wanamuita mzee wa ndovu. Washasahau kabisa Click to expand... Tusker lager
Ndahani said: Siasa huwa zinakera sana. Watu walikuwa wanamuita mzee wa ndovu. Washasahau kabisa Click to expand... Tusker lager