HS CODE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 1,784
- 4,376
MKUU, NENDA KULE KAJIBU HOJA ZA UTAPELI.
Hahaha, nimecheka sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKUU, NENDA KULE KAJIBU HOJA ZA UTAPELI.
Dah [emoji1787][emoji1787]Russia ipo level moja na jeshi la Taliban. Hakuna namna atakua na intelligence ya kujua kinachoendelea USA
[emoji1787][emoji1787]We dogo Michael acha utapeli rudisha pesa za watu we kenge
Kwa Akili yako unadhani akishusha nuclear bomb watu watamtazama tu?Marekani na NATO hawaiwezi Russia. Joe Biden ni senile na msahaulifu otherwise he would not be provoking Russia at all. Sijui kwa nini Putin anasumbuka kubishana na Joe Biden badala ya kuimaliza Vita ya Ukraine kesho kwa kutumia nuclear bombs.
Please note,jeshi la anga la Urusi haliitwi,"Russian Air Force". Wanayo fancy name for their air defence. Kwa sababu Warusi wanazo cosmopheres,silaha ambazo zipo katika anga za juu.
Hiyo cosmophere niliyoitaja hapo juu, unajua ni kitu gani?Kwa Akili yako unadhani akishusha nuclear bomb watu watamtazama tu?
Muwe mnatumia Akili kuchangia mada Mkuu.
Matobolwa.Hiyo cosmophere niliyoitaja hapo juu, unajua ni kitu gani?
Sijui na mimi nikutapeli😀