Siri za Familia ama Ukoo!

The Boss! Excuse! Hilo jina ulilolitaja Mwanauani limenistua, nina Shem wangu anakwenda kwa jina hilo kwao ni Babati kwa sasa ameolewa anaishi Nairobi, nabahatisha kama awezakua ndie labda, nipe maneno!
 
basi raha zaidi uchukue 'mdada' wa uswazi
uone vurugu zake.....umewahi?
kwanza atakuuliza simu yako ina vocha..
halafu ukimpa ataanza kuwapigia 'mashosti' wake woote
na shangazi na mjomba hadi basi....utasema anasafiri lol

mambo ya uswaz usipime,ukiwa na demu uswazi kama ni jirani basi ujue daily chai au msosi wa mchana lazima atagongea kwako,yaani lazima akugeuze kigodoro
 
The Boss! Excuse! Hilo jina ulilolitaja Mwanauani limenistua, nina Shem wangu anakwenda kwa jina hilo kwao ni Babati kwa sasa ameolewa anaishi Nairobi, nabahatisha kama awezakua ndie labda, nipe maneno!

huyo wangu nilisoma nae primary
darasa la kwanza mpaka la nne
akahama sijui alihamia wapi
wewe alisoma primary wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…