Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,785
sio uswazi hata mashuleni yapo
mvulana ukiwa mbeya halafu wasichana wakuweke kati lol
umenikumbusha shuleni nilisoma na msichana anaitwa Mwanauani..dah
unaweza kuwa umezubaa hivi mara kundi la wasichana hiloo lol
wamemzunguka mtu wanamsuta....yaani.....
siku hizi uswazi wanasuta kwa matarumbeta na ngoma...
kama ni mwanaume wanakuletea na vipedo na blauzi wanakuvalisha lol na wapiga picha juu
pata picha....lol
The Boss! Excuse! Hilo jina ulilolitaja Mwanauani limenistua, nina Shem wangu anakwenda kwa jina hilo kwao ni Babati kwa sasa ameolewa anaishi Nairobi, nabahatisha kama awezakua ndie labda, nipe maneno!