Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,091
- 3,695
Tuacheni utani jamani urusi anachakazwa vibaya mno,,kama ni kumpania basi walimpania miaka mingi,,jamaa wanapewa kisago haswaa!
i cant wait to see global military rank next year. maana wahuni wana malizia mishono. russia isipokua no 20 sjui