Siri zimefichukua kwanini Trump alisitisha vita kati ya Israel na Iran

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Iblisi ni kiumbe miongoni mwa majini ambaye huwapambia binadamu matendo yaliyo maovu sana akitumia fursa aliyoiomba siku alipoumbwa binadamu.
Hata hivyo Iblisi mara mtu anapotenda lile ovu alilomchochea kulitenda huwa anamdharau sana binadamu na haraka mwenyewe hukimbia na kujitenda na uovu huo,Muda huo ndio ambao binadamu aliyetenda jambo hilo chafu naye hujuta na kuanza kutaka kuziba mianya ili asijulikane na binadamu wenzake japo Mungu ameshamrekodi tayari kwa hukumu siku ya kiyama.

Tabia za Iblisi ndio tabia halisi za raisi wa sasa wa Marekani,Donald Trump ijapokuwa yeye amemzidi kidogo Iblisi kwani yeye huwa hajutiii uovu wake.Yeye ndiye aliyeichochea India kupigana na Pakistan.Lakini alipoona India inapigwa mapigo ya aibu kwa ndege zake za ghali kuangushwa ndani ya mipaka yake.haraka Trump akamlazimisha Modi kusitisha vita akijifanya yeye ni msuluhishi.

Hivyo hivyo raisi Trump alimpa silaha zote alizotaka Netanyahu ili apigane na Iran akitaraji ndio itakuwa ndio ushidi wa mwisho dhidi ya Iran.Pale Israel iliposhindwa japo walivamia na kutumia silaha nzito ndipo mwenyewe Trump akaamua kuisaidia Israel na kukiuka taratibu za kufanya maamuzi makubwa kama hayo.Akatuma ndege zenye uwezo wa kubeba silaha kali zaidi ukiondoa nyuklia kupiga vinu vya nyuklia vya Iran.

Iran ilikasirishwa sana na kitendo hicho kama walivyokasirika hata marafiki wa Trump nje ya Marekani.Hapo Iran ikarusha makombora kupiga kambi ya Marekani iliyopo Qattar inayokusanya askari 10,000 wa Marekani moja ya kambi zilizotumika kuleta maafa kwa mataifa kadhaa ya kiislamu ya mashariki ya kati,Asia na Afriaka.

Japo Qattar ilitangaza kuyadungua makombora yote 18 ya Iran lakini habari kutoka ndani ya Qattar zinaeleza kuwa balistic kadhaa zilifanikiwa kupenya na kutua ndani ya kambi hizo na kuua askari wengi wa Marekani..Wananchi wa Qattar na wameshuhudia majenenza mengi ya maiti za askari hao yakisafirishwa kurudhishwa kwao Marekani.

Kuona hivyo na akijua kile kilichotokea Tel Aviv na Haifa haraka Trump kwa taibia zake za kiiblisi akasitisha vita akijifanya ni msuluhishi na kwamba alipokea maombi kutoka Israel na Iran kwa wakati mmoja kutaka kusitisha vita.

Iran na Israel zilikanusha madai hayo ya Trump na Israel iliona ni fursa ya kusitisha maafa kwake ikawa ya mwanzo kukubali mpango huo wa kiiblisi wa Trump.
 
Trump story zake kama zile za Ain Al Asad waliuliwa wamarekani wengi akadai Iran ilimuambia itapiga akawacha base tupu 🤣

Siri ilikuja kutoka badaye.kwampa walichapika sawa sawa.
 
kobaz mnatabu Sana interception ya hizo missile ilikuwa ikirekodiwa live na tuliona
Katika vita Marekani na Israel wanaficha mno habari ya hasara wanazozipata.Historia ndiyo inayotoa ukweli kutokana na mashahidi tofauti na vyombo vya habari.Kwa maana ambacho hukukiona kikirekodiwa ni zaidi ya kile ulichokiona.
Isingekuwa picha za satelite na maelezo ya Iran yenyewe tusingeweza kujua kuwa vinu vya nyuklia vya Iran havikuangamizwa kama alivyotamba Trump.Sasa ndio Trump mwenyewe anaanza kujirudi kauli zake.
 
Iblisi ni kiumbe miongoni mwa majini ambaye huwapambia binadamu matendo yaliyo maovu sana akitumia fursa aliyoiomba siku alipoumbwa binadamu.
Hata hivyo Iblisi mara mtu anapotenda lile ovu alilomchochea kulitenda huwa anamdharau sana binadamu na haraka mwenyewe hukimbia na kujitenda na uovu huo,Muda huo ndio ambao binadamu aliyetenda jambo hilo chafu naye hujuta na kuanza kutaka kuziba mianya ili asijulikane na binadamu wenzake japo Mungu ameshamrekodi tayari kwa hukumu siku ya kiyama.

Tabia za Iblisi ndio tabia halisi za raisi wa sasa wa Marekani,Donald Trump ijapokuwa yeye amemzidi kidogo Iblisi kwani yeye huwa hajutiii uovu wake.Yeye ndiye aliyeichochea India kupigana na Pakistan.Lakini alipoona India inapigwa mapigo ya aibu kwa ndege zake za ghali kuangushwa ndani ya mipaka yake.haraka Trump akamlazimisha Modi kusitisha vita akijifanya yeye ni msuluhishi.

Hivyo hivyo raisi Trump alimpa silaha zote alizotaka Netanyahu ili apigane na Iran akitaraji ndio itakuwa ndio ushidi wa mwisho dhidi ya Iran.Pale Israel iliposhindwa japo walivamia na kutumia silaha nzito ndipo mwenyewe Trump akaamua kuisaidia Israel na kukiuka taratibu za kufanya maamuzi makubwa kama hayo.Akatuma ndege zenye uwezo wa kubeba silaha kali zaidi ukiondoa nyuklia kupiga vinu vya nyuklia vya Iran.

Iran ilikasirishwa sana na kitendo hicho kama walivyokasirika hata marafiki wa Trump nje ya Marekani.Hapo Iran ikarusha makombora kupiga kambi ya Marekani iliyopo Qattar inayokusanya askari 10,000 wa Marekani moja ya kambi zilizotumika kuleta maafa kwa mataifa kadhaa ya kiislamu ya mashariki ya kati,Asia na Afriaka.

Japo Qattar ilitangaza kuyadungua makombora yote 18 ya Iran lakini habari kutoka ndani ya Qattar zinaeleza kuwa balistic kadhaa zilifanikiwa kupenya na kutua ndani ya kambi hizo na kuua askari wengi wa Marekani..Wananchi wa Qattar na wameshuhudia majenenza mengi ya maiti za askari hao yakisafirishwa kurudhishwa kwao Marekani.

Kuona hivyo na akijua kile kilichotokea Tel Aviv na Haifa haraka Trump kwa taibia zake za kiiblisi akasitisha vita akijifanya ni msuluhishi na kwamba alipokea maombi kutoka Israel na Iran kwa wakati mmoja kutaka kusitisha vita.

Iran na Israel zilikanusha madai hayo ya Trump na Israel iliona ni fursa ya kusitisha maafa kwake ikawa ya mwanzo kukubali mpango huo wa kiiblisi wa Trump.
Kobazi kwa uwongo na unafiki mpo vizuri mnajitungia vimaneno vya propaganda kutetea dini ya mnyazimungu
 
Sasa kama Iran aliwaweza Israel na Marekani kwanini alikubali kusitisha vita
 
Hata yule Allah wa hamas anakushangaa na kukucheka
 
Katika vita Marekani na Israel wanaficha mno habari ya hasara wanazozipata.Historia ndiyo inayotoa ukweli kutokana na mashahidi tofauti na vyombo vya habari.Kwa maana ambacho hukukiona kikirekodiwa ni zaidi ya kile ulichokiona.
Isingekuwa picha za satelite na maelezo ya Iran yenyewe tusingeweza kujua kuwa vinu vya nyuklia vya Iran havikuangamizwa kama alivyotamba Trump.Sasa ndio Trump mwenyewe anaanza kujirudi kauli zake.
Kwa haya maelezo yako unatuaminisha Marekani anaiogopa Iran siyo?
 
Katika vita Marekani na Israel wanaficha mno habari ya hasara wanazozipata.Historia ndiyo inayotoa ukweli kutokana na mashahidi tofauti na vyombo vya habari.Kwa maana ambacho hukukiona kikirekodiwa ni zaidi ya kile ulichokiona.
Isingekuwa picha za satelite na maelezo ya Iran yenyewe tusingeweza kujua kuwa vinu vya nyuklia vya Iran havikuangamizwa kama alivyotamba Trump.Sasa ndio Trump mwenyewe anaanza kujirudi kauli zake.
Zifichue hizo habari fiche kwa ushahidi na si maneno ya kumuhusu shetani mbaya na mzuri.
 
Iblisi ni kiumbe miongoni mwa majini ambaye huwapambia binadamu matendo yaliyo maovu sana akitumia fursa aliyoiomba siku alipoumbwa binadamu.
Hata hivyo Iblisi mara mtu anapotenda lile ovu alilomchochea kulitenda huwa anamdharau sana binadamu na haraka mwenyewe hukimbia na kujitenda na uovu huo,Muda huo ndio ambao binadamu aliyetenda jambo hilo chafu naye hujuta na kuanza kutaka kuziba mianya ili asijulikane na binadamu wenzake japo Mungu ameshamrekodi tayari kwa hukumu siku ya kiyama.

Tabia za Iblisi ndio tabia halisi za raisi wa sasa wa Marekani,Donald Trump ijapokuwa yeye amemzidi kidogo Iblisi kwani yeye huwa hajutiii uovu wake.Yeye ndiye aliyeichochea India kupigana na Pakistan.Lakini alipoona India inapigwa mapigo ya aibu kwa ndege zake za ghali kuangushwa ndani ya mipaka yake.haraka Trump akamlazimisha Modi kusitisha vita akijifanya yeye ni msuluhishi.

Hivyo hivyo raisi Trump alimpa silaha zote alizotaka Netanyahu ili apigane na Iran akitaraji ndio itakuwa ndio ushidi wa mwisho dhidi ya Iran.Pale Israel iliposhindwa japo walivamia na kutumia silaha nzito ndipo mwenyewe Trump akaamua kuisaidia Israel na kukiuka taratibu za kufanya maamuzi makubwa kama hayo.Akatuma ndege zenye uwezo wa kubeba silaha kali zaidi ukiondoa nyuklia kupiga vinu vya nyuklia vya Iran.

Iran ilikasirishwa sana na kitendo hicho kama walivyokasirika hata marafiki wa Trump nje ya Marekani.Hapo Iran ikarusha makombora kupiga kambi ya Marekani iliyopo Qattar inayokusanya askari 10,000 wa Marekani moja ya kambi zilizotumika kuleta maafa kwa mataifa kadhaa ya kiislamu ya mashariki ya kati,Asia na Afriaka.

Japo Qattar ilitangaza kuyadungua makombora yote 18 ya Iran lakini habari kutoka ndani ya Qattar zinaeleza kuwa balistic kadhaa zilifanikiwa kupenya na kutua ndani ya kambi hizo na kuua askari wengi wa Marekani..Wananchi wa Qattar na wameshuhudia majenenza mengi ya maiti za askari hao yakisafirishwa kurudhishwa kwao Marekani.

Kuona hivyo na akijua kile kilichotokea Tel Aviv na Haifa haraka Trump kwa taibia zake za kiiblisi akasitisha vita akijifanya ni msuluhishi na kwamba alipokea maombi kutoka Israel na Iran kwa wakati mmoja kutaka kusitisha vita.

Iran na Israel zilikanusha madai hayo ya Trump na Israel iliona ni fursa ya kusitisha maafa kwake ikawa ya mwanzo kukubali mpango huo wa kiiblisi wa Trump.

Hii hadithi kawasimulie wenye upungufu wa akili kama wa kwako.
Marekani na Israel, kamwe serikali haiwezi kuficha vifo kwa sababu sheria zao ni kali sana dhidi ya taarifa za uwongo. Familia na ndugu wa marehemu wakigundua serikali ilificha vifo vya ndugu zao, Serikali nzima itatikisika.

Kama ulikuwa umezaliwa, nadhani unakumbuka sakata la Clinton na yule dada mhudumu wa white house. Shida haikuwa kwa Clinton kuwa na mahusiano ya kimapenzi bali kukataa kuwa hakuwa mpenzi wake, na hiyo ilihesabika alikuwa amesema uwongo.

Pona yake ilikuja kwenye definition ya sex. Kwa definition ya sex, ilithibitika kuwa japo alikuwa na mahusiano yasiyofaa na Monica, lakini mahusiano hayo hayakuwa ya sex kwa tafsiri ya kishetia ya sex.

Huyo aliyekusimlia hiyo riwaya, amekudharau sana, na kukuona huna uwezo wa kutafakari.
 
Umeamua kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa au kutetea upuuzi.
Mara ngapi Marekani imesema uongo na kuficha matukio makubwa kuliko ya Qattar.
Kama ulikuwa hujazaliwa au ulikuwa mdogo basi soma historia ujue kuwa hakukuwa na magaidi walioangusha majengo pacha sept.11 na vile vile Iraq haikuwa na silaha za maangamizi na wala Osama bin Laden hakuuliwa Pakistan na marines wa US.
 
Back
Top Bottom