Siri zimefichukua kwanini Trump alisitisha vita kati ya Israel na Iran

Nachoamini, katika vita hii, Irani ilianza kupata hasara kubwa lakini Israel na Marekani walianza kupata hasara pia ndiyo maana wakaomba poo ili warudi kujipanga upya. Alichopaswa kukifanya Iran ni kuendeleza vita mpaka mwisho ingawa Marekani angeweza kuifanyia Iran tukio baya.

Kama Iran angekuwa dhaifu maana yake ilikuwa ni fursa kuendelea kushambulia ili kuhakikisha Ayatolah anaanguka kabisa. Kama waliweza kumwangusha Saddam kwa nini isiwe Ayatolah mpaka wasitishe vita? Maana yake, walisitisha vita baada ya kuona na wao wanaenda kupata hasara na vita ikawa ngumu baada ya kaunta ataki za Iran!
 
Katika dakika za mwanzo kumbe Iran ilifanikiwa kukisambaratisha kifaa muhimu cha uhai wa kimawasiliano ya kambi ya Al Uder.Kambi nzima ilikosa mawasiliano na vikosi vya Marekani na Pentagon kwa ujumla.
Tump kuona hivyo akatangaza uongo kwamba ameombwa asimamishe vita
.Kilichokua kinafutai kwenye kambi hiyo ilikuwa ndio aibu kubwa zaidi kwa Mareakni.

Iran's attack on Qatar air base hit geodesic dome used for US communications, satellite photos show​

 
Kwa hiyo wewe ukisema “ Habari kutoka Qattar” wote tuamini ni kweli?

Wafuga Midevu na Majini mnafeli sana kuleta habari ambazo haziaminiki kabisa!!
 
Iblisi ni kiumbe miongoni mwa majini
Uongo unakusidia nini? According to Quran Iblis ni Jini na ni peke yake alikuwa ni jini na alifukuzwa peke yake. so mbinguni ni Iblis na Adam na Hawah ndio walisepeshwa firdaus. so unaposema Iblis ni miongoni mwa majini kawapataje? au ndio zile hadithi za Kiislam kusema Iblis ana jinisa mbili kwenye paja moja ana jinsia ya kike na paja lingie jinsia ya kiume so unapoona wazee wamekaa kwenye kiti kisha wanagusanisha mapaja yao kwa speed fulani hivi amazing ni ndio iblis anafanya sex huo mchezo naona sana wazee wa kiislam unaona kanzu tu ina gusana gusana tu. so iblis anapata mimba na kuzaa vijini vingine kibao
Mbona unamsingizia Iblis wakati Allah ndie alisema yeye ndio kapanga kila kitu amewapangia waislam kila kitu so kila mfanyalo ni yeye ame guide au hujui? Quran 28:56 na Aya kibao tu 16:93
Sema mpango wa Allah ndio mpanga mabaya
 
Uongo unakusidia nini? According to Quran Iblis ni Jini na ni pele yake alikuwa ni jini
Nilichosema mimi ni kutoka katika Quran na ndicho ambacho na wewe umekikubali.
Sasa sijui kwanini umechanganyikiwa kiasi hicho.
 
Nilichosema mimi ni kutoka katika Quran na ndicho ambacho na wewe umekikubali.
Sasa sijui kwanini umechanganyikiwa kiasi hicho.
Allah ndie mpanga mabaya acha kumsingizia iblis, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…