Siridhiki ila ninampenda

Siridhiki ila ninampenda

Wana ndg ningeomba ushaur wenu mana ninarafiki yangu anampenz wake wa kike. Nimejaribu kumshaur lakn nimeshndwa labda na nyny mnaweza kunisaidia ili nifikishe kwake ushaur huu. Rafiki yangu ana mpenz wake lakn huyo mpenz wake alimueleza waz jamaa kuwa anampenda sana jamaa ila inapofika katka tendo la ndoa msichana anasema haridhiki na wala hasikii raha. Ila anampenda jamaa na mshkaj kasha2mia njia zote ila bado mpenz wake haridhiki je afanyeje? .Ninaomba 2mshaur na msichana ni mkwel anampenda sana jamaa mana jamaa alitaka kumuacha ila demu akataka kujiuwa je afanyeje? Ushauri wenu plz
Atakuwa hajatumia mbinu zote kuna hizi hapa ziko mia moja (Top 100 Love Making Techniques) kama ikiwa bado basi mwambie tajaribu kutafuta nyingine zaidi.. Hope it helps tell them to name the firsborn after me 🙂
http://www.autocareforum.com/100_Love-Making_Techniques.PDF
 
Muulize aliemridhisha ni nani? Halafu mtafute huyo jamaa kwa ushauri kama umvumilivu basi hata demonstration.
 
zama kwenye jukwaa la kiutu uzima kuna thread imewekwa ina 100 techniques kama vipi unaweza kumdownloadia then akajaribu mwenyewe. Siamini kama ameshafanya kila kitu sababu haiwezekani ukawa unajua vyote ni lazima amefanya anavyovijua yy na ssa ni muda ya darasa ambalo halijui.
 
huyo anataka mayb um tigo or unapapala kijana ..relax muandae mpenzio sio kubiringishana tu..ikishindikana ni PM ..nije nimridhishe
 
mwambie Upendo wake ni wa maneno tu hautoki moyoni. Kama kweli alikuwa anampenda uwepo wake tu katika maisha yake ungenridisha kabisa hata bila UZINZI
 
Nakushauri umuone anayejiita (Dr) Ndodi anaweza kukusaidia maana ajua kuongea bila aibu
 
Kuridhika ni pyschological. The lady should avoid thinking so negative.

Unajifanya unamuulizia mwenzio, kumbe ni wewe mwenyewe!! Kuridhika ni psyschological. Kama ulimtibua siku ya kwanza basi una kazi nzito ya kutibu huo ugonjwa. Patna wako anahitaji mshauri wa mambo ya sex. Vinginevyo, atakuwa anakuanikia tu ili umalize shida zako wakati mawazo yake yapo yapo jikoni kuosha vyombo.
 
well said
 
Surely kiswahili ni kigumu sana . ukitaka kujua wewe angalia matokeo ya NECTA form 4 2010-cheki matokeo ya St Marian, Uru na shule nyingine zinazoongoza uone walivyo na "A" nyingi kwenye kila somo isipokuwa Kiswahili...tafakari chukua hatua haki elimuuu..
Acheni mbwembwe toeni ushauri, kiswahili kigumu bana nani asiyejua hilo????. Hata hivyo kajitahidi sn maana si lugha yake ya kwanza hiyo
 
Ni vizuri aeleze wazi anataka afanyiwe nini maana katika mapenzi uwazi unasaidia kukunwa pale unapotaka. Mwambie mwenzako nifanyie hivi, nishike hapa etc.
 
Sasa kama haridhiki anang'ang'ania nini... atafute wa kumridhisha.... askimkondeshe kaka wa watu bure
 
Mmmmmh, haya na hapa napita, wenye maujuzi
Msaidieni mwenzetu, mimi mpaka ikasome notes kwanza.
 
Kuridhika ni pyschological. The lady should avoid thinking so negative.

Unajifanya unamuulizia mwenzio, kumbe ni wewe mwenyewe!! Kuridhika ni psyschological. Kama ulimtibua siku ya kwanza basi una kazi nzito ya kutibu huo ugonjwa. Patna wako anahitaji mshauri wa mambo ya sex. Vinginevyo, atakuwa anakuanikia tu ili umalize shida zako wakati mawazo yake yapo yapo jikoni kuosha vyombo.

kaka nimekuelewa ila khs ni mm hlo c kwel mana mm lipo lakwangu kama vp hebu angalia utaona topic inayosema JINSI NILIVYOASHWA VALENTINE ndo utanishaur mimi sawa kaka hl co langu ni la mshkaj wangu ila kwa ushaur ulio utoa nitamfikishia
 
jaman huyu mshkaj kama kumfanya cjui kula tigo cjui kufanya nini hv vyote kashafanya na mm nilikuwa mshaur wake ila demu wake halidhik na hayo yote. Na ukienda kwa docta kumchek anaambiwa yupo saf sasa hapo ndo yeye anashndwa kumuelewa alafu pia akitaka kumuacha demu hatak na anataka hata kujiua sasa jamaa anashndwa kuelewa na mshkaj kasha zima pia kwa demu
 
Back
Top Bottom