VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
Atakuwa hajatumia mbinu zote kuna hizi hapa ziko mia moja (Top 100 Love Making Techniques) kama ikiwa bado basi mwambie tajaribu kutafuta nyingine zaidi.. Hope it helps tell them to name the firsborn after me 🙂Wana ndg ningeomba ushaur wenu mana ninarafiki yangu anampenz wake wa kike. Nimejaribu kumshaur lakn nimeshndwa labda na nyny mnaweza kunisaidia ili nifikishe kwake ushaur huu. Rafiki yangu ana mpenz wake lakn huyo mpenz wake alimueleza waz jamaa kuwa anampenda sana jamaa ila inapofika katka tendo la ndoa msichana anasema haridhiki na wala hasikii raha. Ila anampenda jamaa na mshkaj kasha2mia njia zote ila bado mpenz wake haridhiki je afanyeje? .Ninaomba 2mshaur na msichana ni mkwel anampenda sana jamaa mana jamaa alitaka kumuacha ila demu akataka kujiuwa je afanyeje? Ushauri wenu plz
http://www.autocareforum.com/100_Love-Making_Techniques.PDF