Siridhiki kimapenzi, naomba ushauri

Kuna mijitu humu ya ajabu,mi nimeomba ushauri lakni,midomoooo mara wooo ,mara wooo,itabidi nilefti coz nimeona humu hakuna jipya kulingana na majibu yao,wanaume ovyoo humu
Heeeee jaman ,, kwanza tunakutania ndo ushauri unafuata !!.

Usikasirike namna iyo..kama utakasirika Basi Wewe ni moja yawanadam wanaoruhusu kuumizwa na hisia za watu...

Wee ni teenager kwaiyo hiyo hali huwez kusema uepukane nayo,, nakusema ukweli ,, Usiporidhishwa kimapenzi Mara nying hata km unapewa nn nilazima mapenzi uyaone machungu.

Embu kaaa namwenzako ,,umwambie ,,afanye nn ili uridhike ,,mambo yakumkalia kimya alafu yeye anajua anakuridhisha kumbe hapana ndomatokeo yake Haya .

Kaaa naye mwambie akufanyie ivi naivi uliridhike..

After all ,ukiona hafai muache jamaa ajifanyie maisha yake yupo atakayeridhika namapigo yake. Kuliko kumfanya km wakipato alafu kugongowa ugongwe na mwingine...kama nimimi unanifanyie huo ujinga kuna mawili..... Nikufanyie kitu ambacho hutokisahau au nikuache tu.
 
Ndiyo maana ukiwa na smartphone automatic unapaswa kuwa na techno tochi au nokia tochi. NiPM nisimame kama nokia tochi.
 
Kwenye mahusiano ukipenda sana pesa ni matatizo, ukipenda sana ngono pia ni matatizo. We sio mtu ukiwa kwenye mahusiano na mtu utapwaya tu.
 
Kaka usichezee akili za watu.... wewe ni mwanaume...huwa ninawajua tuuu...hapa nina kitufe cha kujua jinsia ya Mtu Mkuu...ukiendelea na Tabia hii na wenzako tunaajua na wameweka Avator za kike...tutawawekea "Tego"
 
Walipueni jamani wanakera
 
Hahahahahaa upuuz mwingine jamii gorum ina maana mtu antengeneZa akount mpya ndani ya dakika anatuma post ya kipuuz huu ni upuuzi uliotukuka
 
Kama ya kuunganisha bao 4, kila la heri mkuu
Mimi bao mbili zinatosha kabisa na mama hapo anatoka amekubali shoo....

Mapenzi si kukomoana bado...piga sho ya kiutuuzima wote mfurahi .......na si kukesha kusumbua kitumbua cha mama...ili kumkomoa...
 
Ukikutana na pango atakunanga mpk ujute, mapenzi ni raha na utamu wa pande zote mbili
 
Ukikutana na pango atakunanga mpk ujute, mapenzi ni raha na utamu wa pande zote mbili
hahah... akianzisha hivyo taraka itabidi imuhusu hakuna namna..... itabidi mwisho wa siku akubaliane na hali halisi mama...
 
mtembelee gerezani kila jumamosi akawe anakupa magoli ya okwi siku hizi kuna chumba wanaruhusu.hii kitu kipo kichwani kwahiyo hata akija mwingine mwili na kichwa hakitatoa ushirikiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…