edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Basi huyo shoga![]()
Wacha ujinga, wewe ME kwa mujibu ya maelezo yako, sasa sjui ndio wale wale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi huyo shoga![]()
Wacha ujinga, wewe ME kwa mujibu ya maelezo yako, sasa sjui ndio wale wale
Mimi ni mwanamke,umri wangu ni miaka 25,ila sijaolewa na bado sijazaaa
Mwaka Jana nilikuwa na mpenzi ,tulipendana sana,ila Mimi nilimpenda sana kwa sababu alikuwa ananikimbiza kwenye mechi hadi namkubali kuwa hadi nampongeza kuwa hii ligi ya bundesliga kumbe anaiweza sana,
Alichokuwa ananifanyia mpaka nafika peponi ni pale tulipokuwa tunaanza mechi, goli la kwanza na la pili alikuwa anaunganisha hadi nasema asante baba,ila bahati mbaya kwa tamaa zake akampa mwanafunzi mimba yupo jela
Miezi mitatu iliyopita nilipata mwanaume mwingine yeye ana miaka 27,ila yule wa awali alikuwa na 35,
Huyu kijana mbichi,ananikera kwanza hawezi kuunganisha double goals,na ili asimame lazima nibembeleze karibia dakika 15, akianza goli la kwanza hawezi kucheza hata dakika tano, dakika moja tu chali,hadi kesho yake tena,na kesho yake ndo hivo hivo
Jaman naombeni ushauri,nimuache au ila hela kwake siyo tatizo,hata nyumba kanipangishia,
Naombeni ushauri jamani

Huu mwandiko wa kiume kabisa. Kumekuwa na uhaba wa thread zawanawake hivyo wanaume wameamua kuchukua nafasi.Maneno yake kama ME vile. Au ndio wale KE wasela sana wanashinda na ME wao vijiweni na kuangalia soccer!!
Point sana hii.Usimuache tafuta namna ya kumsaidia ili akuridhishe vizuri..Kumuacha tu kisa hakuridhishi mimi naona sio suluhisho la kudumu. Asante
Vipi kuhusu yule wa jela, ndo habar yake imeishia hapo?Usimuache tafuta namna ya kumsaidia ili akuridhishe vizuri..Kumuacha tu kisa hakuridhishi mimi naona sio suluhisho la kudumu. Asante
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kiuasilia tu wanawake tuna nguvu nyingi za kike,,mwenzio mie nikishakojoa sina hamu tena na sitaki kusikiaa
itakuwa si unajua kesi ya mwanafunzi ni miaka mingapiVipi kuhusu yule wa jela, ndo habar yake imeishia hapo?
Aiseeeeitakuwa si unajua kesi ya mwanafunzi ni miaka mingapi
njoo unifunge bibieEeeeeeeh
Akili zako zinahitaji kufungwa bolts.
Usimwache komaa utaridhika peponiMimi ni mwanamke, umri wangu ni miaka 25, ila sijaolewa na bado sijazaa.
Mwaka Jana nilikuwa na mpenzi, tulipendana sana, ila mimi nilimpenda sana kwa sababu alikuwa ananikimbiza kwenye mechi hadi namkubali kuwa hadi nampongeza kuwa hii ligi ya bundesliga kumbe anaiweza sana.
Alichokuwa ananifanyia mpaka nafika peponi ni pale tulipokuwa tunaanza mechi, goli la kwanza na la pili alikuwa anaunganisha hadi nasema asante baba, ila bahati mbaya kwa tamaa zake akampa mwanafunzi mimba, yupo jela
Miezi mitatu iliyopita nilipata mwanaume mwingine yeye ana miaka 27, ila yule wa awali alikuwa na 35.
Huyu kijana mbichi, ananikera kwanza hawezi kuunganisha double goals na ili asimame lazima nibembeleze karibia dakika 15, akianza goli la kwanza hawezi kucheza hata dakika tano, dakika moja tu chali, hadi kesho yake tena na kesho yake ndo hivo hivo. Jamani naombeni ushauri, nimuache au ila hela kwake siyo tatizo, hata nyumba kanipangishia.
Naombeni ushauri jamani!