Siridhiki kimapenzi, naomba ushauri

Siridhiki kimapenzi, naomba ushauri

a6b3f820ccc2a5f7c09e7730af1044be.jpg

Wacha ujinga, wewe ME kwa mujibu ya maelezo yako, sasa sjui ndio wale wale
Basi huyo shoga
 
Acha ujinga unataka hela akupe na bado akukaze vzr tena!
 
Mmh. Hawakukosea wale waliosema ni vyema kutulizana mpaka kufikia hatua ya kupata mwenza wa maisha kwa sababu kama hizi.

Ila pia na wewe mdada mmh. Mapenzi sio vita inabidi uridhike tu kwa sababu binadamu wanatofautiana na hawawezi kulingana hata siku moja na bila kuamini hivyo utawabadisha mpaka ukome.
 
Mimi ni mwanamke,umri wangu ni miaka 25,ila sijaolewa na bado sijazaaa
Mwaka Jana nilikuwa na mpenzi ,tulipendana sana,ila Mimi nilimpenda sana kwa sababu alikuwa ananikimbiza kwenye mechi hadi namkubali kuwa hadi nampongeza kuwa hii ligi ya bundesliga kumbe anaiweza sana,
Alichokuwa ananifanyia mpaka nafika peponi ni pale tulipokuwa tunaanza mechi, goli la kwanza na la pili alikuwa anaunganisha hadi nasema asante baba,ila bahati mbaya kwa tamaa zake akampa mwanafunzi mimba yupo jela
Miezi mitatu iliyopita nilipata mwanaume mwingine yeye ana miaka 27,ila yule wa awali alikuwa na 35,
Huyu kijana mbichi,ananikera kwanza hawezi kuunganisha double goals,na ili asimame lazima nibembeleze karibia dakika 15, akianza goli la kwanza hawezi kucheza hata dakika tano, dakika moja tu chali,hadi kesho yake tena,na kesho yake ndo hivo hivo
Jaman naombeni ushauri,nimuache au ila hela kwake siyo tatizo,hata nyumba kanipangishia,
Naombeni ushauri jamani

Kwani unamlipa shilingi ngapi kwa kazi hiyo unayotaka ufanyiwe.?
 
Umri umeenda, badili vipaumbele vyako, haupo na miaka 18 tena. Huo ndio ushauri wangu.
 
Maneno yake kama ME vile. Au ndio wale KE wasela sana wanashinda na ME wao vijiweni na kuangalia soccer!!
Huu mwandiko wa kiume kabisa. Kumekuwa na uhaba wa thread zawanawake hivyo wanaume wameamua kuchukua nafasi.
 
KE na bundesliga.....aaah wapi na wapi. We ni ME mwenye tabia za kishoga
 
Huyu aliyekuwa jela kwa kubaka ndo lijamaa lako lililokuwa linakufikisha sio? Aisee wewe unapenda show za kibabu...tafuta m bakaji mwingine
 
ukiwa malaya hutosheki na mwanaume......wako wenye kukufikisha.......ila ni eat & run......
 
Hela anayo, nyumba kakupangishia shida kwako iko kweny game sio,

Angekuwa vzr kweny game, hela hana na nyumba hajakupangishia napo ungesema daaah.

This verify that its very difficult to understand an attitude of a woman,
As long as they love in reality but they need to be handled with high knowladge
 
Mimi ni mwanamke, umri wangu ni miaka 25, ila sijaolewa na bado sijazaa.

Mwaka Jana nilikuwa na mpenzi, tulipendana sana, ila mimi nilimpenda sana kwa sababu alikuwa ananikimbiza kwenye mechi hadi namkubali kuwa hadi nampongeza kuwa hii ligi ya bundesliga kumbe anaiweza sana.

Alichokuwa ananifanyia mpaka nafika peponi ni pale tulipokuwa tunaanza mechi, goli la kwanza na la pili alikuwa anaunganisha hadi nasema asante baba, ila bahati mbaya kwa tamaa zake akampa mwanafunzi mimba, yupo jela
Miezi mitatu iliyopita nilipata mwanaume mwingine yeye ana miaka 27, ila yule wa awali alikuwa na 35.

Huyu kijana mbichi, ananikera kwanza hawezi kuunganisha double goals na ili asimame lazima nibembeleze karibia dakika 15, akianza goli la kwanza hawezi kucheza hata dakika tano, dakika moja tu chali, hadi kesho yake tena na kesho yake ndo hivo hivo. Jamani naombeni ushauri, nimuache au ila hela kwake siyo tatizo, hata nyumba kanipangishia.

Naombeni ushauri jamani!
Usimwache komaa utaridhika peponi
 
Back
Top Bottom