Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Heeeee jaman ,, kwanza tunakutania ndo ushauri unafuata !!.Kuna mijitu humu ya ajabu,mi nimeomba ushauri lakni,midomoooo mara wooo ,mara wooo,itabidi nilefti coz nimeona humu hakuna jipya kulingana na majibu yao,wanaume ovyoo humu
Usikasirike namna iyo..kama utakasirika Basi Wewe ni moja yawanadam wanaoruhusu kuumizwa na hisia za watu...
Wee ni teenager kwaiyo hiyo hali huwez kusema uepukane nayo,, nakusema ukweli ,, Usiporidhishwa kimapenzi Mara nying hata km unapewa nn nilazima mapenzi uyaone machungu.
Embu kaaa namwenzako ,,umwambie ,,afanye nn ili uridhike ,,mambo yakumkalia kimya alafu yeye anajua anakuridhisha kumbe hapana ndomatokeo yake Haya .
Kaaa naye mwambie akufanyie ivi naivi uliridhike..
After all ,ukiona hafai muache jamaa ajifanyie maisha yake yupo atakayeridhika namapigo yake. Kuliko kumfanya km wakipato alafu kugongowa ugongwe na mwingine...kama nimimi unanifanyie huo ujinga kuna mawili..... Nikufanyie kitu ambacho hutokisahau au nikuache tu.