Siridhiki kimapenzi, naomba ushauri

Huu mwandiko wa kiume kabisa. Kumekuwa na uhaba wa thread zawanawake hivyo wanaume wameamua kuchukua nafasi.
Hahaa ... mkuu naona unatupiga dogo wa kiume. Inawezekana huyu ni wa kike sema ni msela sana anashinda na wanaume muda mwingi ameathirika na tabia au lugha zetu wanaume.
 
njoo inbobo niwe nakupa friend match za siri siri... secret love always tamu
 
Ray vanny aliimba "..AKILA MIHOGO,karoti Hazipandi.."
Naona mkuu umelishwa mihogo sana karoti zinakushinda..pole lakini
 
Napata ukakasi sana kuamini kuwa hii stori ni ya kweli. Yaani mtu goli 1 ndo mpaka kesho tena??! Hivi kuna wanaume kweli wa namna hii?
 
Kwa kweli ndio maana wanaume tunakufa haraka tunasifiwa mambo ya kijinga
Nguvu inayotumika hapo miaka ya kuishi mwanaume inazidi kupungua
 
Mimi nina miaka 35 nina uwezo wa kuunganisha. Njoo kwangu ufaidi
 
Hahaa ... mkuu naona unatupiga dogo wa kiume. Inawezekana huyu ni wa kike sema ni msela sana anashinda na wanaume muda mwingi ameathirika na tabia au lugha zetu wanaume.
May be!
 
Njoo pm,
Tuyajenge ili nivunje rekodi ya aliye jera.
 
Kabisa huyu me tu alikuwa anatafuta usingizi
Halafu sikuhizi hii tabia inashika kasi hapa jf

Mtu huyo huyo anafungua Uzi kwa I'd hii na kujijibu kwa I'd nyingine. Story za uongo kwasana
 
Huko kupenda kutiwa sn ni matokeo ya kuanza kufanya ukiwa mdg sn kati ya miaka 12 au 13.
Na hali hiyo haiondoki hadi utakapozaa pia nahisi huwa unaota ugongwa na mtu asiyejulikana ukiwa usingizini.
Huyo anaeshindwa game na umri huo ni matokeo ya kuendekeza punyeto so ww kula tu hela zake
 
Ni pm tafadhali nikupe ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…