Siridhiki na utendaji wa Baraza la mitihani la Taifa, NECTA

Huna pakusemea hata wawe wazembe kiasi gani...
Tumaini langu halijawahi kuwa ktk kelele za wabunge hata siku moja. Mbunge aliyeamua kuacha shule baada ya kujua kusoma na kuandika anisaidie nini bungeni? Hata upinzani wawe 50% kwa ubora ule na maneno yale ya uongo kesho yake wanahama, what a shame!
 
Mwanao ameibuka na division FOUR basi unataka azingatiwe, ruksa kujitekenya mkuu!
 
Watoto mathematics katika masomo yote si kweye phy,chem,hata geogr, vihesabu vidogo vinawapiga Sana siku hizi .
Nafikiri ni lishe na ubovu wa walimu na mtazamo wa walimu hasa ngazi ya secondary.
Unakuta mtoto primary alikua vizuri namba badae anakua bomu la F
 
system yetu ya elimu ni ya waingereza/wamarekani ie western style education... huko huko kwenye system hii ndiko elimu bora iliko, discvoveries zote za dunia hii zinatoka huko, sasa utasemaje kuwa system hiyo haifai? sema sisi kuna mahali tunakosea......
 
Education sector is relative my friend

Wait and see the comments around here; as we keep on waiting, I have to take you in several concepts concerning what is so called Education;..
Huyu naye alipata division one
 
Kazi ya baraza ni kufanya post mortem tu. Then wanatoa ripoti mada walizoshindwa wanafunzi ni hizi, wizara ya elimu ndiyo inapaswa kuweka mikakati kuboresha. TAMISEMI wao wanahakikisha miundombinu iko sawa
 
Duniani kote huo ni utaratibu wa kawaida lazima uwatambua wanafunzi bora pamoja na shule zilizofanya vizuri zaidi
 

Inawezekana ukawa sahihi lakini kazi ya NECTA ni kufanya tathmini kwa kuangalia kigezo cha mitihani na ndio maaana wanaitwa 'BARAZA LA MITIHANI TANZANIA'. Sasa kama unashauri zifanyike rank za shule kwa kuangalia vigezo vingine kama vile Usafi, michezo na nidhamu wanaweza kufanya watu wengine lakini acha NECTA wafanye kazi inayofanana na jina lao.
 
Kwa sasa mtihani wa mwisho una 70% na ni course work. Tatizo ninaloliona kwenye pendekezo lako ni pale ambapo shule X itafundisha topic moja na shule Y ikafundishwa topic 10 alafu wote wakatungiwa mitihani na walimu wao kwa kuzingatia topic walizosoma na ndio ziamue hiyo 70% na mtihani huo unasahihishwa na mwalimu huyo huyo!!!
 
Duniani kote huo ni utaratibu wa kawaida lazima uwatambua wanafunzi bora pamoja na shule zilizofanya vizuri zaidi
Sehemu nyingi duniani wamesha achana na utaratibu wa kushindanisha mashule. Finland wameondoa kabisa mitihani na ma test
 
Hakuna kitu kibaya Kama Uhuru wa maoni.
Kwa makusudi Mtu kwa makusudi hataki mitihani iwe kipimo Cha ufaulu/kujua
Kwa makusudi Mtu hataki shule zinazoogoza zitangazwe
......f..ck...Uhuru wa maonj
 
Kuna. M-NECTA mmoja alijenga Kijiji cha Maghorofa hapa Dar kwa Kuuza mitihani
 
Matangazo mengi Sasa hivi kwenye TV na Redio yanayohimiza kujiunga na form one hasa hizi English St somebody utasikia shule ilikuwa ya kwanza ki mkoa na ya Tatu kitaifa
 
Kuna. M-NECTA mmoja alijenga Kijiji cha Maghorofa hapa Dar kwa Kuuza mitihani
Bado biashara hizo zinaendelea. Kila mwaka wanajidai mitihani imeibiwa, hakuna kuibiwa, wanaigawa wenyewe kwa malipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…