Z Zygot JF-Expert Member Joined Apr 14, 2016 Posts 2,265 Reaction score 2,919 Jan 29, 2023 Thread starter #41 Yule Msomnde aliyeondoka, anstahili achunguzwe ushirika wake na shule alizokuwa akizitangaza kila mwaka.
Yule Msomnde aliyeondoka, anstahili achunguzwe ushirika wake na shule alizokuwa akizitangaza kila mwaka.
K Kamongo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2009 Posts 2,190 Reaction score 2,485 Jan 29, 2023 #42 Kipangaspecial said: Hakuna mfumo mzuri wa Elimu duniani kama huu wa Tanzania Click to expand... Unaozalisha vilaza ndio mfumo mzuri?
Kipangaspecial said: Hakuna mfumo mzuri wa Elimu duniani kama huu wa Tanzania Click to expand... Unaozalisha vilaza ndio mfumo mzuri?
A Algore JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 2,363 Reaction score 3,795 Jan 29, 2023 #43 Zygot said: Yule Msomnde aliyeondoka, anstahili achunguzwe ushirika wake na shule alizokuwa akizitangaza kila mwaka. Click to expand... Kutafuta weledi kwa hao watu wanaosimamia elimu ni sawa na kumtafuta padre kwenye baraza la ulamaa
Zygot said: Yule Msomnde aliyeondoka, anstahili achunguzwe ushirika wake na shule alizokuwa akizitangaza kila mwaka. Click to expand... Kutafuta weledi kwa hao watu wanaosimamia elimu ni sawa na kumtafuta padre kwenye baraza la ulamaa
residentura JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 8,146 Reaction score 11,434 Jan 29, 2023 #44 STDVII said: Kuna. M-NECTA mmoja alijenga Kijiji cha Maghorofa hapa Dar kwa Kuuza mitihani Click to expand... Hata hapa Changanyikeni,yupo mmoja ana apartments za kutosha kwa biashara hiyo hiyo.
STDVII said: Kuna. M-NECTA mmoja alijenga Kijiji cha Maghorofa hapa Dar kwa Kuuza mitihani Click to expand... Hata hapa Changanyikeni,yupo mmoja ana apartments za kutosha kwa biashara hiyo hiyo.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jan 29, 2023 #45 [emoji38][emoji38][emoji38]