vposterior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 732
- 1,233
Weka hata picha zao basi mkuu.Acheni kujitoa akili mnmjua kabisa aliyemshambulia Tundu Lissu na kwenye kikao cha kupanga mashambulizi na wewe Simon Sirro ulihudhuria. Aliyepiga risasi ni Bwire na Herry Kisanduku ambao walfanya hivyo kwa maelekezo ya Paulo Makonda.
Kilichobaki kwa Simon Sirro ili uepuke kupata dhahma kama ya IGP mwezio wa Uganda Kale Kayihura ambaye yuko under arrest kwa amri ya ICC ni wewe kuanza kuwaua mashahidi muhimu kabla hujatoka ofsini kama IGP. Hao waliopiga bunduki watakutaja tu na hautakwepa tutakapo kupeleka ICC.
Hapa ina maana kamanda Barlaw alitoa ushirikiano ndio maana waliomuua wamehukumiwa kunyongwa wiki iliyopitaMkuu wa Jeshi la polisi nchini Tanzania(IGP) Simon Sirro amesema uchunguzi juu ya kupotea kwa mwandishi wa habari za Uchunguzi Azory Gwanda wa gazeti la mwananchi unaendelea kwani wameshafungua jalada la uchunguzi, huku akiwataka watu kama wana taarifa kuhusu tukio hilo kuzifikisha polisi na si kuishia mitandaoni kwani haziwezi kusaidia.
Akizungumza katika kipindi maalum cha Konani kinachorushwa na ITV kupitia Mitandao yake ya Youtube na Facebook, IGP Sirro amesema suala la watu kupotea halijaanza leo huku akitolea mfano wa wazee wa kizanaki wengi walikuwa wanasemekna wamepotea lakini baadae wanaonekana.
Katika hatua nyingine IGP Sirro amezungumzia suala la aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu kupigwa risasi ambapo amesema mpaka sasa bado hawajambaini mtu aliyefanya tukio hilo, huku akieleza kwamba Tundu Lissu ameshindwa kutoa ushirikiano kwa jeshi hilo jambo ambalo linachukua muda.
IGP Sirro ameweka bayana kwamba kesi ya jinai mara nyingi haifi hata ikichukua miaka kumi bado ni kesi ya jinai, "Kimsingi ni kwamba kesi ipo tunamsubiri Bwana Lissu aje atupe taarifa ilikuwaje na yule shahidi yake nafikiri tutapata sehemu ya kuanzia.
[/QUOTE
Mkuu,hao uliowataja ngoja tuwaombee ukichaa,waje waeleze kila kitu.Acheni kujitoa akili mnmjua kabisa aliyemshambulia Tundu Lissu na kwenye kikao cha kupanga mashambulizi na wewe Simon Sirro ulihudhuria. Aliyepiga risasi ni Bwire na Herry Kisanduku ambao walfanya hivyo kwa maelekezo ya Paulo Makonda.
Kilichobaki kwa Simon Sirro ili uepuke kupata dhahma kama ya IGP mwezio wa Uganda Kale Kayihura ambaye yuko under arrest kwa amri ya ICC ni wewe kuanza kuwaua mashahidi muhimu kabla hujatoka ofsini kama IGP. Hao waliopiga bunduki watakutaja tu na hautakwepa tutakapo kupeleka ICC.
Sijui kwanini viongozi wengi kama si wote wa awamu hii ni wenye iq za chini sana na wanaamini kuwa watanzania wote ni wajingaMkuu wa Jeshi la polisi nchini Tanzania(IGP) Simon Sirro amesema uchunguzi juu ya kupotea kwa mwandishi wa habari za Uchunguzi Azory Gwanda wa gazeti la mwananchi unaendelea kwani wameshafungua jalada la uchunguzi, huku akiwataka watu kama wana taarifa kuhusu tukio hilo kuzifikisha polisi na si kuishia mitandaoni kwani haziwezi kusaidia.
Akizungumza katika kipindi maalum cha Konani kinachorushwa na ITV kupitia Mitandao yake ya Youtube na Facebook, IGP Sirro amesema suala la watu kupotea halijaanza leo huku akitolea mfano wa wazee wa kizanaki wengi walikuwa wanasemekna wamepotea lakini baadae wanaonekana.
Katika hatua nyingine IGP Sirro amezungumzia suala la aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu kupigwa risasi ambapo amesema mpaka sasa bado hawajambaini mtu aliyefanya tukio hilo, huku akieleza kwamba Tundu Lissu ameshindwa kutoa ushirikiano kwa jeshi hilo jambo ambalo linachukua muda.
IGP Sirro ameweka bayana kwamba kesi ya jinai mara nyingi haifi hata ikichukua miaka kumi bado ni kesi ya jinai, "Kimsingi ni kwamba kesi ipo tunamsubiri Bwana Lissu aje atupe taarifa ilikuwaje na yule shahidi yake nafikiri tutapata sehemu ya kuanzia.
Amfungulie nani kesi?. Mwenye mamlaka na madaraka ya kuchunguza kikatiba na kisheria ni tanpolarudi ajeafungue kesi asituzingue tu naye huyu tuko busy na uchaguzi sasa hivi
Mkuu mbona unahasira yaani umeamua kifungua ukweliAcheni kujitoa akili mnmjua kabisa aliyemshambulia Tundu Lissu na kwenye kikao cha kupanga mashambulizi na wewe Simon Sirro ulihudhuria. Aliyepiga risasi ni Bwire na Herry Kisanduku ambao walfanya hivyo kwa maelekezo ya Paulo Makonda.
Kilichobaki kwa Simon Sirro ili uepuke kupata dhahma kama ya IGP mwezio wa Uganda Kale Kayihura ambaye yuko under arrest kwa amri ya ICC ni wewe kuanza kuwaua mashahidi muhimu kabla hujatoka ofsini kama IGP. Hao waliopiga bunduki watakutaja tu na hautakwepa tutakapo kupeleka ICC.
Mfano huu hauhusiani kabisa na swali lililoulizwaWatu kupotea haijaanza leo hata wazee wa kizanaki waliokuwa wamepotea baadae wanapatikana
Raia tumeshachoka, haina haja ya mafumbo, kama wao wanaduzunguka shauri yao.Mkuu mbona unahasira yaani umeamua kifungua ukweli
Mkuu asante unaweza kuja kutoa taarifa hizi vizuri maana hii ni jinai wewe utakuwa shahidi tu. Umetusaidia Sana na hata Kama hujajitokeza nakuahidi tutakupataAcheni kujitoa akili mnmjua kabisa aliyemshambulia Tundu Lissu na kwenye kikao cha kupanga mashambulizi na wewe Simon Sirro ulihudhuria. Aliyepiga risasi ni Bwire na Herry Kisanduku ambao walfanya hivyo kwa maelekezo ya Paulo Makonda.
Kilichobaki kwa Simon Sirro ili uepuke kupata dhahma kama ya IGP mwezio wa Uganda Kale Kayihura ambaye yuko under arrest kwa amri ya ICC ni wewe kuanza kuwaua mashahidi muhimu kabla hujatoka ofsini kama IGP. Hao waliopiga bunduki watakutaja tu na hautakwepa tutakapo kupeleka ICC.
Umesha maliza kumfuatilia??Tunafatilia
Dokta molel alisema bungeni waliompiga LISU risasi.na alisema kwenye kikao alishiriki.hamkuchukua hatua yoyote dhidi yake ili aseme walikuwa na nani kwenye kikao.au mlimtuma kusema upumbavu ule ili msukumie dhambi kwa wengine?. Damu zinanena na uzuri MUNGU atazidai mikononi mwenu.Mkuu asante unaweza kuja kutoa taarifa hizi vizuri maana hii ni jinai wewe utakuwa shahidi tu. Umetusaidia Sana na hata Kama hujajitokeza nakuahidi tutakupata