Sirro: Lissu ameshindwa kutoa ushirikiano kuhusu tukio lake la kupigwa risasi... Jalada la Uchunguzi kuhusu kupotea kwa Azory limefunguliwa

Acheni kujitoa akili mnmjua kabisa aliyemshambulia Tundu Lissu na kwenye kikao cha kupanga mashambulizi na wewe Simon Sirro ulihudhuria. Aliyepiga risasi ni Bwire na Herry Kisanduku ambao walfanya hivyo kwa maelekezo ya Paulo Makonda.

Kilichobaki kwa Simon Sirro ili uepuke kupata dhahma kama ya IGP mwezio wa Uganda Kale Kayihura ambaye yuko under arrest kwa amri ya ICC ni wewe kuanza kuwaua mashahidi muhimu kabla hujatoka ofsini kama IGP. Hao waliopiga bunduki watakutaja tu na hautakwepa tutakapo kupeleka ICC.
Weka hata picha zao basi mkuu.
 
T
Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Tanzania(IGP) Simon Sirro amesema uchunguzi juu ya kupotea kwa mwandishi wa habari za Uchunguzi Azory Gwanda wa gazeti la mwananchi unaendelea kwani wameshafungua jalada la uchunguzi, huku akiwataka watu kama wana taarifa kuhusu tukio hilo kuzifikisha polisi na si kuishia mitandaoni kwani haziwezi kusaidia.

Akizungumza katika kipindi maalum cha Konani kinachorushwa na ITV kupitia Mitandao yake ya Youtube na Facebook, IGP Sirro amesema suala la watu kupotea halijaanza leo huku akitolea mfano wa wazee wa kizanaki wengi walikuwa wanasemekna wamepotea lakini baadae wanaonekana.

Katika hatua nyingine IGP Sirro amezungumzia suala la aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu kupigwa risasi ambapo amesema mpaka sasa bado hawajambaini mtu aliyefanya tukio hilo, huku akieleza kwamba Tundu Lissu ameshindwa kutoa ushirikiano kwa jeshi hilo jambo ambalo linachukua muda.

IGP Sirro ameweka bayana kwamba kesi ya jinai mara nyingi haifi hata ikichukua miaka kumi bado ni kesi ya jinai, "Kimsingi ni kwamba kesi ipo tunamsubiri Bwana Lissu aje atupe taarifa ilikuwaje na yule shahidi yake nafikiri tutapata sehemu ya kuanzia.

[/QUOTE
Hapa ina maana kamanda Barlaw alitoa ushirikiano ndio maana waliomuua wamehukumiwa kunyongwa wiki iliyopita
 
mambo ya aibu sana huyu jama bora abaki kimya kuliko kuongea hivi

TL hayupo jarada halijafunguliwa, AG hayupo pia ila jarada linafunguliwa
 
Acheni kujitoa akili mnmjua kabisa aliyemshambulia Tundu Lissu na kwenye kikao cha kupanga mashambulizi na wewe Simon Sirro ulihudhuria. Aliyepiga risasi ni Bwire na Herry Kisanduku ambao walfanya hivyo kwa maelekezo ya Paulo Makonda.

Kilichobaki kwa Simon Sirro ili uepuke kupata dhahma kama ya IGP mwezio wa Uganda Kale Kayihura ambaye yuko under arrest kwa amri ya ICC ni wewe kuanza kuwaua mashahidi muhimu kabla hujatoka ofsini kama IGP. Hao waliopiga bunduki watakutaja tu na hautakwepa tutakapo kupeleka ICC.
Mkuu,hao uliowataja ngoja tuwaombee ukichaa,waje waeleze kila kitu.
Hao wazee waache kujichora kwenye TV,wakifikiri watanzania ni mpunguani.
 
Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Tanzania(IGP) Simon Sirro amesema uchunguzi juu ya kupotea kwa mwandishi wa habari za Uchunguzi Azory Gwanda wa gazeti la mwananchi unaendelea kwani wameshafungua jalada la uchunguzi, huku akiwataka watu kama wana taarifa kuhusu tukio hilo kuzifikisha polisi na si kuishia mitandaoni kwani haziwezi kusaidia.

Akizungumza katika kipindi maalum cha Konani kinachorushwa na ITV kupitia Mitandao yake ya Youtube na Facebook, IGP Sirro amesema suala la watu kupotea halijaanza leo huku akitolea mfano wa wazee wa kizanaki wengi walikuwa wanasemekna wamepotea lakini baadae wanaonekana.

Katika hatua nyingine IGP Sirro amezungumzia suala la aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu kupigwa risasi ambapo amesema mpaka sasa bado hawajambaini mtu aliyefanya tukio hilo, huku akieleza kwamba Tundu Lissu ameshindwa kutoa ushirikiano kwa jeshi hilo jambo ambalo linachukua muda.

IGP Sirro ameweka bayana kwamba kesi ya jinai mara nyingi haifi hata ikichukua miaka kumi bado ni kesi ya jinai, "Kimsingi ni kwamba kesi ipo tunamsubiri Bwana Lissu aje atupe taarifa ilikuwaje na yule shahidi yake nafikiri tutapata sehemu ya kuanzia.

Sijui kwanini viongozi wengi kama si wote wa awamu hii ni wenye iq za chini sana na wanaamini kuwa watanzania wote ni wajinga
 
arudi ajeafungue kesi asituzingue tu naye huyu tuko busy na uchaguzi sasa hivi
Amfungulie nani kesi?. Mwenye mamlaka na madaraka ya kuchunguza kikatiba na kisheria ni tanpol
 
atoe ushirikiano ili mfanikiwe kumuua vizuri...mwacheni kaka wa watu apumzike.
 
Acheni kujitoa akili mnmjua kabisa aliyemshambulia Tundu Lissu na kwenye kikao cha kupanga mashambulizi na wewe Simon Sirro ulihudhuria. Aliyepiga risasi ni Bwire na Herry Kisanduku ambao walfanya hivyo kwa maelekezo ya Paulo Makonda.

Kilichobaki kwa Simon Sirro ili uepuke kupata dhahma kama ya IGP mwezio wa Uganda Kale Kayihura ambaye yuko under arrest kwa amri ya ICC ni wewe kuanza kuwaua mashahidi muhimu kabla hujatoka ofsini kama IGP. Hao waliopiga bunduki watakutaja tu na hautakwepa tutakapo kupeleka ICC.
Mkuu mbona unahasira yaani umeamua kifungua ukweli
 
Mkuu asante unaweza kuja kutoa taarifa hizi vizuri maana hii ni jinai wewe utakuwa shahidi tu. Umetusaidia Sana na hata Kama hujajitokeza nakuahidi tutakupata
 
"Sisi tunamsubiri Mhe.Tundu Lissu aje afungue kesi, kitu gani kimemtokea, mazingira gani na yule dereva wake, dereva tumemtafuta imekuwa shida, yeye mwenyewe alipopata matatizo yupo nje hatujamuona, tunamuona tu kwenye mitandao"IGP Sirro.

Hapa mimi nimeachwa hoi-upigwe risasi uwe mahututi, upone, halafu unatakiwa ufungue kesi-sasa unamshitaki nani? Naona IGP analeta cheap politics.
 
Lissu na dereva wake wapo ubeligiji hivyo hawatoi ushirikiano,kwenye jalada la Azori kuna nini? Mnasubiri arudi awape ushirikiano?kazi ya polisi Siku hizi ni rahisi sana,endeleeni kutuambia.
 
Mkuu asante unaweza kuja kutoa taarifa hizi vizuri maana hii ni jinai wewe utakuwa shahidi tu. Umetusaidia Sana na hata Kama hujajitokeza nakuahidi tutakupata
Dokta molel alisema bungeni waliompiga LISU risasi.na alisema kwenye kikao alishiriki.hamkuchukua hatua yoyote dhidi yake ili aseme walikuwa na nani kwenye kikao.au mlimtuma kusema upumbavu ule ili msukumie dhambi kwa wengine?. Damu zinanena na uzuri MUNGU atazidai mikononi mwenu.
 
Back
Top Bottom