Sirudi tena Singida, Tabora, Mtwara na Tanga

Sirudi tena Singida, Tabora, Mtwara na Tanga

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Mimi kama chizcom sitarudi hii mikoa naweza kutelekeza familia usipo kuwa makini.

Yaani ukapota huko huko kusiko julikana mpaka ndugu wakakutafuta kwenye kipindi cha ITV "yuko wapi".

Hawa wanawake wako wanajua kupenda jamani. Halafu tatizo lao ukiwaleta mjini basi umeletea team fisi, wanakula mpaka mizoga.

Singida
Bora niwe na pita tu maana kuna watoto wazuri ila asivuke mpaka wa Singida sio wako tena.

Tabora
Huku ukiwa na kazi ndogo wala hupati shida, utakula kuku mpaka na jogoo wa vifaranga vyake.

Mtwara
Huku bwana kuna mauno feni mpaka utasahau ulipotokea.

Tanga
Ukitongozwa umewekwa kwenye kilinge cha mapenzi

2023 sirudi tena
 
Mbona unaleta Mandonga wakati watu wako serious na hii njanuary
 
Tabia zako tu ndo zimekufanya uwaze hivyo. Wapo wengi sana wamepita huko na wamerudi salama salimini. Ukiendekeza ngono huko lazima uende na maji. HIVYO BADILI TABIA ZAKO. Vinginevyo utakimbia kila mahali
 
Kuna siku nilikamatia pila ujiji kigoma, yule mdada ananyonya kila tundu. Elfu 25 nipata thamani yake.
 
Kwa hii Tabora ni kawaida tu? [emoji16][emoji16][emoji16] ngoja 'nikakoshe' Suv.
20230114_130059.jpg
 
Back
Top Bottom