chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Mimi kama chizcom sitarudi hii mikoa naweza kutelekeza familia usipo kuwa makini.
Yaani ukapota huko huko kusiko julikana mpaka ndugu wakakutafuta kwenye kipindi cha ITV "yuko wapi".
Hawa wanawake wako wanajua kupenda jamani. Halafu tatizo lao ukiwaleta mjini basi umeletea team fisi, wanakula mpaka mizoga.
Singida
Bora niwe na pita tu maana kuna watoto wazuri ila asivuke mpaka wa Singida sio wako tena.
Tabora
Huku ukiwa na kazi ndogo wala hupati shida, utakula kuku mpaka na jogoo wa vifaranga vyake.
Mtwara
Huku bwana kuna mauno feni mpaka utasahau ulipotokea.
Tanga
Ukitongozwa umewekwa kwenye kilinge cha mapenzi
2023 sirudi tena