Sirudii tena kupima wanawake Ukimwi tukiwa faragha, kilichonikuta jana sitakaa nisahau, tutapima hospitali

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hizi mada Sasa..[emoji848]
 
Nilishawahi kupima namna hiyo, tena ni katoto kabichi ka kienyeji kabisa nimekaokota kijijini huko.... na chumba nimelipia kilichonikuta usiku mzima.

Kukaambia matokeo nikashindwa nikaanza kuzuga tu stori za kuungaunga, demu kenyewe sio kazuri kivile na home nimeacha mke mzuri tu.... kilichofuata ni kwenda kutafuta ndomu ila moyo unadunda kama ngumi na walahi mtandao hausomi kabisa.
Tuacheni masikhara.
 
"ana ngoma ana ngoma, walahi hatapona, akiutizam moto dakika 2 unajizima"

Juma nature
 
Nilishawahi kupima namna hiyo, tena ni katoto kabichi ka kienyeji kabisa nimekaokota kijijini huko.... na chumba nimelipia kilichonikuta usiku mzima.

Kukaambia matokeo nikashindwa nikaanza kuzuga tu stori za kuungaunga, demu kenyewe sio kazuri kivile na home nimeacha mke mzuri tu.... kilichofuata ni kwenda kutafuta ndomu ila moyo unadunda kama ngumi na walahi mtandao hausomi kabisa.
Tuacheni masikhara.
mkuuu hahaha umenikumbusha ngoja nisiseme.... hahaha
 
Back
Top Bottom