Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko mji wa jam na joto nyingi sanaLeo mada za kutisha tu [emoji29][emoji29][emoji29]
Niko mji wa jam na joto nyingi sana
Kimya kimya kabisa Niko for 3 weeks onlyEeehee kimyaa kabisa
Kimya kimya kabisa Niko for 3 weeks only
Karibu Sana bia leoSafii enjoy
Karibu Sana bia leo
Daadeki mende kazini
mkuuu hahaha umenikumbusha ngoja nisiseme.... hahahaNilishawahi kupima namna hiyo, tena ni katoto kabichi ka kienyeji kabisa nimekaokota kijijini huko.... na chumba nimelipia kilichonikuta usiku mzima.
Kukaambia matokeo nikashindwa nikaanza kuzuga tu stori za kuungaunga, demu kenyewe sio kazuri kivile na home nimeacha mke mzuri tu.... kilichofuata ni kwenda kutafuta ndomu ila moyo unadunda kama ngumi na walahi mtandao hausomi kabisa.
Tuacheni masikhara.
Hii wiki hii, mnataka watu tusibanjuke?