Sirudii tena ndio mwanzo na mwisho!

Sirudii tena ndio mwanzo na mwisho!

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Jana nilisoma nakala moja kwenye gazeti kuhusu ulaji wa nyama ya kitimoto na mazara yake!!na mimi nilikuwa mgumu wa kuamini hilo!!sasa leo nimeamua kuchukua maamuzi magumu!!kuanzia leo!!sitakaa nisome tena magazeti!!!...[emoji86] [emoji86]
 
hivi kufa kwa minyoo au kupigwa na Polisi ktk operation ukuta kipi bora? Leo hii unaongea kwa dhihaka subiri yakukute utaongea kwa machozi na majonzi
Time will tell
 
Umebugi.Ulaji wa huyo mdudu unaongeza nguvu za kiume.
 
Jana nilisoma nakala moja kwenye gazeti kuhusu ulaji wa nyama ya kitimoto na mazara yake!!na mimi nilikuwa mgumu wa kuamini hilo!!sasa leo nimeamua kuchukua maamuzi magumu!!kuanzia leo!!sitakaa nisome tena magazeti!!!...[emoji86] [emoji86]
ndio unashtuka leo?wenzio tuliacha kusoma magazeti kitambo mno,maana ni waongo mno,utakuta habari ni moja ila maelezo yanapishana hadi maana inapotea,hapa JF kwangu ni zaidi ya GAZETI na TV za KIBONGO!
 
Mkuu mwayena vipi!!tena asee!!mbona kama mshangao!!
 
Jana nilisoma nakala moja kwenye gazeti kuhusu ulaji wa nyama ya kitimoto na mazara yake!!na mimi nilikuwa mgumu wa kuamini hilo!!sasa leo nimeamua kuchukua maamuzi magumu!!kuanzia leo!!sitakaa nisome tena magazeti!!!...[emoji86] [emoji86]
Yeah chairfire hana tatizo...mwenye tatizo ni aliyeandika hilo gazeti uchwara.
 
Sisi ni wabishi kweli kweli, binafsi sili kabisa, nilijitahidi kuwaelimisha wanangu kuhusu madhala ya kula mbuzi Katoloki sina shaka walinielewa.
 
acha unafiki,kwani uzinzi hauna madhara?
 
Back
Top Bottom