Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umemuelewa?alhamdulilah
hivi kufa kwa minyoo au kupigwa na Polisi ktk operation ukuta kipi bora? Leo hii unaongea kwa dhihaka subiri yakukute utaongea kwa machozi na majonziJana nilisoma nakala moja kwenye gazeti kuhusu ulaji wa nyama ya kitimoto na mazara yake!!na mimi nilikuwa mgumu wa kuamini hilo!!sasa leo nimeamua kuchukua maamuzi magumu!!kuanzia leo!!sitakaa nisome tena magazeti!!!...[emoji86] [emoji86]
ndio unashtuka leo?wenzio tuliacha kusoma magazeti kitambo mno,maana ni waongo mno,utakuta habari ni moja ila maelezo yanapishana hadi maana inapotea,hapa JF kwangu ni zaidi ya GAZETI na TV za KIBONGO!Jana nilisoma nakala moja kwenye gazeti kuhusu ulaji wa nyama ya kitimoto na mazara yake!!na mimi nilikuwa mgumu wa kuamini hilo!!sasa leo nimeamua kuchukua maamuzi magumu!!kuanzia leo!!sitakaa nisome tena magazeti!!!...[emoji86] [emoji86]
Yeah chairfire hana tatizo...mwenye tatizo ni aliyeandika hilo gazeti uchwara.Jana nilisoma nakala moja kwenye gazeti kuhusu ulaji wa nyama ya kitimoto na mazara yake!!na mimi nilikuwa mgumu wa kuamini hilo!!sasa leo nimeamua kuchukua maamuzi magumu!!kuanzia leo!!sitakaa nisome tena magazeti!!!...[emoji86] [emoji86]
Msome tena na umueleweUmebugi.Ulaji wa huyo mdudu unaongeza nguvu za kiume.
hahahumemuelewa?
Yah, Hasa Nyama Ya Kinena-eneo La Kiuno Hadi MapajaUmebugi.Ulaji wa huyo mdudu unaongeza nguvu za kiume.
acha unafiki,kwani uzinzi hauna madhara?Sisi ni wabishi kweli kweli, binafsi sili kabisa, nilijitahidi kuwaelimisha wanangu kuhusu madhala ya kula mbuzi Katoloki sina shaka walinielewa.