Sishangai Mbowe anakutana na mabalozi wa Uingereza na Marekani kwa sababu familia yake nzima ni raia wa nchi hiyo

Ficha upumbavu wako! Ni Raia wangapi wa UK na USA wanaishi Tanzania? Je nao Balozi wanawaalika kuenda ongea nao??Lete oja ya maana na sio cheap Kama hii
 
Wakati anapewa kesi ya ugaidi mbona hukusema hana cha kupoteza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…