Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa ulitaka wawepo hapa ili mwafanye chambo.Kweli kabisa
Ficha upumbavu wako! Ni Raia wangapi wa UK na USA wanaishi Tanzania? Je nao Balozi wanawaalika kuenda ongea nao??Lete oja ya maana na sio cheap Kama hiiWatoto wa Mbowe na Lissu wote ni raia wa Marekani na Uingereza.
Mbowe kukutana na mabalozi wa nchi hizo hapa nchini sio ajabu kwa sababu watoto wa Mbowe wana utii kwa nchi ya Marekani na Uingereza, sio Tanzania.
Mbowe hata akiiharibu Tanzania kwa maandamano na vita, yeye hana cha kupoteza kwa sababu watoto eake watakuwa wanalindwa na C.I.A .
Baadhi ya wanachadema wanahoji, James Mbowe, mtoto wa Mbowe, ambaye sio raia wa Tanzania, kwanini anaruhusiwa kushiriki siasa za Tanzania na hata kupewa vyeo vya kisiasa.
BotMimi raia
Wakati anapewa kesi ya ugaidi mbona hukusema hana cha kupoteza?Watoto wa Mbowe na Lissu wote ni raia wa Marekani na Uingereza.