Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Habar zenu
Sababu zangu zinanzo nifanya nikate kwakijana mwenyewe elimu degree au diploma au masters kwenda jeshini yaani kujitolea
Kwaza, unaenda kuua career yako mwenyewe uwezi kuwa competent katika taaluma yako ambayo umesomea kwasababu kule elimu inawekwa pembeni nguvu inatumika so that why wanataka mtu au watu walio timamu kiafya na wenye nguvu
Pili, uwanja wa kutoboa ni mdogo sana ushindani ni mkubwa sana kwasasa inapotekea swala la ajira that why wenyewe kabla ya kujiunga wanakwambia jkt hawaajili ukienda iko kitu weka kichwani kwako kuwa kuna uwezekano wa wewe kukosa ajira
Tatu, kupoteza mda mda wa miaka miwili unajitolea jkt na kulipwa 50k kama posho yako ni ndogo wakati uho ukiwa mtaani ukiwa tu winga pale kkoo au ukafanya mishe za hapa na pale 50k unapata kwa siku tu so mda wa miaka miwili utakuwa umepoteza mda bure na kile ulicho kitaman kupata hujapata unarudi nyumbani kuanza moja sio pale ulipoishia unaanza moja kwasababu connection na watu unakuwa huna tena unaanza kutafuta connection upya
Nne, hakuna unachofaidika zaidi ya kuwa mkakamavu na kujua mambo ya kijesh some how that why wanataka kijana mzalend uende ukijua kabisa hakuna kitu nafaidika bali nchi yangu ifaidike kupitia mimi na mkataba wako ukiisha hakuna kiinua mgongo kwamba watakupa walau ukafungue genge la machungwa uuze no unaondoka kama ulivyo kuja
Mwisho, serikali ingewaangalia hawa vijana mwezi wa kumi na kuna operation inamaliza mda wao wakija mtaani ndio hao wanakaba wanaua wanakuwa kiakili hawapo sawa kutokana na stress za maisha watafute namna ya kuwainua kidogo.
Badala ya kujenga taifa lenye vijana wazalendo wapenda nchi yao tunatengeneza vijana ambao ni majangiri ya baadae yangu ni hayo tu.

ukweli upooo ila wabishi hawakosekanagi