Sishauri kwa kijana ambaye amesoma kwenda kujitolea JKT

mbona kijana
Tatizo la baadhi ya wa Tanzania umbeya kwao ni jadi kwani mtu akienda JKT wewe inakuhusu nini? Mama yako mzazi ataumwa tumbo la kuharisha au?

Mind your own business
unapaniki tupo kuelimishana hapa
 
yah kule ni jembe ushawai ona shamba dunia kama unataka kulishuhudia nenda makotopora kule kuna shamba dunia au nenda Chita 832kj kule shamba dunia unaona mwazo wa shamba ila mwisho wa shamba hupaoni
Kwahiyo huko ni Jembe,Nyanya tofali na kuni tu ?
Aione Tangawizi
 
Ni wajinga pekee wanakwenda kujitolea wakisubiri bahati huku sasa hakuna bahati.
Mbaya zaidi wametoa ulazima wa kutumia cheti cha JKT kwenye ajira zile za taasisi 6 .
Kwahiyo wajinga wakajitolee ila ikifika zamu ya ajira wasubiri watoto au ndugu wa wabunge, RCO, DCO, OCD, DC, RC, RPC, RPO, DPO DSO n.k waishe ndipo wawekwe wao .
Wilaya moja ina maafisa (wakuu wa vitengo) wasiopungua 10, mkoani nako kuna maafisa (wakuu wa vitengo) wasiopungua 10.
Haya sasa huko jeshini sasa maafisa wadogo na maafisa waandamizi wako kama mchwa maana tangu Magufuli aingie kawapromote sana maafisa mpaka sasa Samia kawapromote mno. Unaweza kufika Kambi kama Lugalo unamkuta Major hana hata kazi ya kusimamia
 
Kujitolea JKT ili uajiriwe ni ishara ya kukosa options zingine za kazi na biashara.
 
Ni wajinga pekee wanakwenda kujitolea wakisubiri bahati huku sasa hakuna bahati.
Mbaya zaidi wametoa ulazima wa kutumia cheti cha JKT kwenye ajira zile za taasisi 6 .
Kwahiyo wajinga wakajitolee ila ikifika zamu ya ajira wasubiri watoto au ndugu wa wabunge, RCO, DCO, OCD, DC, RC, RPC, RPO, DPO DSO n.k waishe ndipo wawekwe wao .
Wilaya moja ina maafisa (wakuu wa vitengo) wasiopungua 10, mkoani nako kuna maafisa (wakuu wa vitengo) wasiopungua 10.
Haya sasa huko jeshini sasa maafisa wadogo na maafisa waandamizi wako kama mchwa maana tangu Magufuli aingie kawapromote sana maafisa mpaka sasa Samia kawapromote mno. Unaweza kufika Kambi kama Lugalo unamkuta Major hana hata kazi ya kusimamia
hii ni kweli kabisa meja wa jeshi unakuta hana ofisi anazulula kikosini wamekuwa wengi sana maluteni wapo wengi na hawana cha kufanya wapo tu vikosini
 
Kama hakuna fursa ya ajila, kumbe wanaenda kujenga mwili tu?...naunga mkono hoja.
 
hii ni kweli kabisa meja wa jeshi unakuta hana ofisi anazulula kikosini wamekuwa wengi sana maluteni wapo wengi na hawana cha kufanya wapo tu vikosini
Ikilipuka vita popote wakihitajika watakuwa na cha kufanya kikubwa tu
 
Back
Top Bottom