Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #21
unapaniki tupo kuelimishana hapaTatizo la baadhi ya wa Tanzania umbeya kwao ni jadi kwani mtu akienda JKT wewe inakuhusu nini? Mama yako mzazi ataumwa tumbo la kuharisha au?
Mind your own business
Anadanganywa na nani mtu mzima ? Umepigiwa kura kuwa uwe mshauri wao?tupo kumpa kijana hali halisi ajue na sio kumdanganya kijana ili baadae asije jutia qkasema hakuambiwa
ukweli atutaacha kusemaAnadanganywa na nani mtu mzima ? Umepigiwa kura kuwa uwe mshauri wao?
Ajira ziko za siri na za wazi wacha wanaoenda waende wasiotaka sio kesiKujitolea JKT ili uajiriwe ni ishara ya kukosa options zingine za kazi na biashara.
hii ni kweli kabisa meja wa jeshi unakuta hana ofisi anazulula kikosini wamekuwa wengi sana maluteni wapo wengi na hawana cha kufanya wapo tu vikosiniNi wajinga pekee wanakwenda kujitolea wakisubiri bahati huku sasa hakuna bahati.
Mbaya zaidi wametoa ulazima wa kutumia cheti cha JKT kwenye ajira zile za taasisi 6 .
Kwahiyo wajinga wakajitolee ila ikifika zamu ya ajira wasubiri watoto au ndugu wa wabunge, RCO, DCO, OCD, DC, RC, RPC, RPO, DPO DSO n.k waishe ndipo wawekwe wao .
Wilaya moja ina maafisa (wakuu wa vitengo) wasiopungua 10, mkoani nako kuna maafisa (wakuu wa vitengo) wasiopungua 10.
Haya sasa huko jeshini sasa maafisa wadogo na maafisa waandamizi wako kama mchwa maana tangu Magufuli aingie kawapromote sana maafisa mpaka sasa Samia kawapromote mno. Unaweza kufika Kambi kama Lugalo unamkuta Major hana hata kazi ya kusimamia
Ikilipuka vita popote wakihitajika watakuwa na cha kufanya kikubwa tuhii ni kweli kabisa meja wa jeshi unakuta hana ofisi anazulula kikosini wamekuwa wengi sana maluteni wapo wengi na hawana cha kufanya wapo tu vikosini
Mambo yamechangamkahii ni kweli kabisa meja wa jeshi unakuta hana ofisi anazulula kikosini wamekuwa wengi sana maluteni wapo wengi na hawana cha kufanya wapo tu vikosini
ndio utalima uku vyet vipo kwenye trankerkma mtu ana degree ya medicine na yy ankwenda kulima shamba!!?๐
daah๐๐ndio utalima uku vyet vipo kwenye tranker