SISI BAADHI YA VIJANA TUACHE NGONO NA ULEVI KUPINDUKIA AKINA MAMA MIKOPO INAWAMALIZA

SISI BAADHI YA VIJANA TUACHE NGONO NA ULEVI KUPINDUKIA AKINA MAMA MIKOPO INAWAMALIZA

BIOTOXINS

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2026
Posts
1,091
Reaction score
2,283
Kuna tatizo lipo na ni kubwa lifanyiwe kazi
Ndugu zangu naanza na SISI vijana
Baadhi ya SISI vijana tulio wengi tumekuwa wazinzi ,walevi na wavivu wa kufanya kazi si Wana wake wala wanaume
Ulevi- nani kakwambia ulevi unaondoa mawazo ?hyo buku mbili ya dable kiki
2000 mara mwezi ni 60,000 na hyo 60,000 ukienda kaliakoo ukanunua limoti za 60,000 ukatembeza mtaani utaishi kubet hauwezi Toka kimaisha
Unalala saa saba usiku unaamka saatano asbh alafu unasema maisha magumu hata mia Tano ya miogo Hauna .et Broo niungie jero .unapaswa ulale saa saba kwa sababu ya msingi ya kutafta pesa na amka alfajili mapema

Mnaoamka saaa tatu asbh shauli zenu
AKINA mama made na madeni baadhi ya AKINA mamaa adui yaao mkubwa ni madeni

Hata SISI wanaume tuna madeni yetu kwa asilimia kubwa hayatuathiri ,hizo pesa mnazokopa mnapeleka wapi si wote.imefikia hatua mwanaume anaacha pesa ya MATUMIZI hyo pesa inageuka kuwa ya kulipa madeni
Simu za mkopo
Kausha damu
Watoto Kila siku tembere .wanaume fanyeni zira za kushtukiza watoto wenu wanakula ovyo si wote
 
Si kila mama anayekopa ana deni kwa sababu ya starehe, na si kila mwanaume hana madeni. Tatizo kubwa ni matumizi yasiyo na mpango, kukopa bila uwezo wa kulipa, na kukosa nidhamu ya fedha.
 
Back
Top Bottom