Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
Kwa kitendo chao cha kumkanda utopolo kwake tena dar es salaam kwenye uwanja wa kapeti wakiwa na mashabiki wao na wachezaji wao wote muhimu, tunasemaje Tabora United mnastahili heshima ya kuitwa timu kubwa hapa Tanzania. Tukumbuke timu kubwa hapa Tanzania zilikuwa ni mbili tu: Simba SC na Ihefu FC na kwa mbali Azam FC nae alikuwa akiingia humo. Lakini tangu yule utopolo mvaa skafu za bendera ya taifa kuinunua na kuibadili timu ya IHEFU na kuwa Singida Black stars tumeiondoa kwenye umoja wa timu kubwa Tanzania.
Kwa walichokifanya TABORA UNITED, sisi kama simba now tuko tayari kuwakaribisha hao jamaa hata kwenye matamasha yetu kama SIMBA DAY ili waje wajifunze namna bora zaidi ya kuendelea kuwa timu kubwa zaidi.
Asanteni Tabora United kutupunguzia viherehere mtaani ni mtaa kukaa kwa kutulia.
Karibuni Bunju siku moja moja tupige mazoezi kwa pamoja kwa sababu nyie sasa ni wakubwa wenzetu 👏👏👏