Sisi kama wananchi tuna-support kwa 100% mradi wa refinery ya gas asilia kule Lindi ila tuna maswali ya kuuliza na maoni yetu

Sisi kama wananchi tuna-support kwa 100% mradi wa refinery ya gas asilia kule Lindi ila tuna maswali ya kuuliza na maoni yetu

Dennis R Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
267
Reaction score
372
NATURAL GAS REFINERY NI NINI???
Ni kiwanda kinachochakata gesi asilia kupitia joto kubwa sana ili
kuitenga na maji, carbondioxide, hudrogen sulfide, mercury, na hydrocarbons ili upate gesi itayofaa kutumika majumbani na matumizi ya kawaida.
hii ndo tafsiri nyepesi ya refinery ya gesi ambayo itajengwa kule lindi
Bidhaa zitokanazo na refinery ya gesi asilia ni kama zifuatazo;-
  • Fuel gas kama ile tunayopikia majumbani
  • Hydrogen
  • Butane
  • Probane
  • Ethane
Hizo product mwekezaji anatarajia aziuze ili apate faida na arudishe fedha yake ya uwekezaji

Hoja ya kwanza
Tuangalie kwanza uwekezaji uliopo kwenye madini kule kanda ya ziwa
Ukienda kanda ya ziwa kuna migodi mikubwa ila jirani ya ile migodi kuna umaskini umetamalaki ni miaka 20 uwepo wa ile migodi haujawa msaada kwa wananchi hili liko wazi wala halihitaji kificho hatutegemei litokee kwenye gesi.

Kwa uchache wananchi walio wengi tunajua mambo mawili yaliyopo kwenye mkataba wa gesi tunajua yako mengi sana ila tunajua mawili
  • Mkataba ni billion 42
  • Muwekezaji atamiliki refinery kwa mda wa miaka 30 baada ya hapo serikali itakabidhiwa

Mda sio mrefu ntaweka maoni yangu namna ya serikali itanufaikaje na mradi tuelewane mimi nina-support huu mradi kwa asilimia 100 ntayaweka maoni yangu hapa namna ya serikali kufaidika ili kisitokee kile kilichotokea kanda ya ziwa
  1. Kiwango cha kodi ambacho kitakua na faida kwa nchi na hakitamuumiza mwananchi
  2. Multiplier ya mradi kwenye uchumi kupitia bidhaa zitakazo-zalishwa wakati ukiwa chini ya mwekezaji
 
Back
Top Bottom