kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Ni kawaida adui mwombee njaa.Jana tulikuwa tunashabikia Fei Toto kwenda Azam kama vile atatusaidia kuongeza point, leo tunashabikia wauza ukwaju na kusema kipa wao kawaangusha. Yaani kafungwa Azam maumivu makali na lawama tunatoa sisi.
Kweli rage hakukosea kutuita mambumbumbu oya oya.
Na leo wajiandae kisaikolojia wale watoto wa kinondoni wahuni sanaJana tulikuwa tunashabikia Fei Toto kwenda Azam kama vile atatusaidia kuongeza point, leo tunashabikia wauza ukwaju na kusema kipa wao kawaangusha. Yaani kafungwa Azam maumivu makali na lawama tunatoa sisi.
Kweli rage hakukosea kutuita mambumbumbu oya oya.
Sisi wanasimba tumesema Simba tumewaachia hakina Mo na Barbara, sisi jana tulicheza na Utopolo alafu mechi imayofuata ni tarehe 31 Turiani.Jana tulikuwa tunashabikia Fei Toto kwenda Azam kama vile atatusaidia kuongeza point, leo tunashabikia wauza ukwaju na kusema kipa wao kawaangusha. Yaani kafungwa Azam maumivu makali na lawama tunatoa sisi.
Kweli rage hakukosea kutuita mambumbumbu oya oya.
Wale tumeshamalizana na baadhi ya wachezaji wao muhimu, ushindi leo ni mkubwa.Na leo wajiandae kisaikolojia wale watoto wa kinondoni wahuni sana
Wale ni mashabiki wa Azam au Nganda FCWanasimba sasa tumeamia huku.
HahahahaWale tumeshamalizana na baadhi ya wachezaji wao muhimu, ushindi leo ni mkubwa
Jana tulikuwa tunashabikia Fei Toto kwenda Azam kama vile atatusaidia kuongeza point, leo tunashabikia wauza ukwaju na kusema kipa wao kawaangusha. Yaani kafungwa Azam maumivu makali na lawama tunatoa sisi.
Kweli rage hakukosea kutuita mambumbumbu oya oya.
Hakika🤣🤣🤣Simba wamechanganyikiwa. Na leo wakipoteza points na kmc ndio itakuwa balaa zaidi
Mbumbumbu mwenyewe na ukoo wako wote hapo Yanga.Jana tulikuwa tunashabikia Fei Toto kwenda Azam kama vile atatusaidia kuongeza point, leo tunashabikia wauza ukwaju na kusema kipa wao kawaangusha. Yaani kafungwa Azam maumivu makali na lawama tunatoa sisi.
Kweli rage hakukosea kutuita mambumbumbu oya oya.
Kama leo gongo wazi walivyoshangilia kile kigoli cha KMC kama mazuzu vileNi kawaida adui mwombee njaa.
Sawa"Mashabiki mambumbumbu" Aden Rage, mwenyekiti mstaafu