kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Jana tulikuwa tunashabikia Fei Toto kwenda Azam kama vile atatusaidia kuongeza point, leo tunashabikia wauza ukwaju na kusema kipa wao kawaangusha. Yaani kafungwa Azam maumivu makali na lawama tunatoa sisi.
Kweli rage hakukosea kutuita mambumbumbu oya oya.
Kweli rage hakukosea kutuita mambumbumbu oya oya.