Sisi mashabiki wa Simba tunashabikia timu ngapi?

Jana tulikuwa tunashabikia Fei Toto kwenda Azam kama vile atatusaidia kuongeza point, leo tunashabikia wauza ukwaju na kusema kipa wao kawaangusha. Yaani kafungwa Azam maumivu makali na lawama tunatoa sisi.

Kweli rage hakukosea kutuita mambumbumbu oya oya.
Ni kawaida adui mwombee njaa.
 
Jana tulikuwa tunashabikia Fei Toto kwenda Azam kama vile atatusaidia kuongeza point, leo tunashabikia wauza ukwaju na kusema kipa wao kawaangusha. Yaani kafungwa Azam maumivu makali na lawama tunatoa sisi.

Kweli rage hakukosea kutuita mambumbumbu oya oya.
Na leo wajiandae kisaikolojia wale watoto wa kinondoni wahuni sana
 
Jana tulikuwa tunashabikia Fei Toto kwenda Azam kama vile atatusaidia kuongeza point, leo tunashabikia wauza ukwaju na kusema kipa wao kawaangusha. Yaani kafungwa Azam maumivu makali na lawama tunatoa sisi.

Kweli rage hakukosea kutuita mambumbumbu oya oya.
Sisi wanasimba tumesema Simba tumewaachia hakina Mo na Barbara, sisi jana tulicheza na Utopolo alafu mechi imayofuata ni tarehe 31 Turiani.

UTOPOLO wanasema wameshamjua aliyekua anamloga Aziz Ki!
 
Wanasimba sasa tumeamia huku.
 
Attachments

  • Screenshot_20221226-133936.png
    Screenshot_20221226-133936.png
    72.2 KB · Views: 2
Aliewaita utopolo aliwaza mbali sana
Jana tulikuwa tunashabikia Fei Toto kwenda Azam kama vile atatusaidia kuongeza point, leo tunashabikia wauza ukwaju na kusema kipa wao kawaangusha. Yaani kafungwa Azam maumivu makali na lawama tunatoa sisi.

Kweli rage hakukosea kutuita mambumbumbu oya oya.
 
Jana tulikuwa tunashabikia Fei Toto kwenda Azam kama vile atatusaidia kuongeza point, leo tunashabikia wauza ukwaju na kusema kipa wao kawaangusha. Yaani kafungwa Azam maumivu makali na lawama tunatoa sisi.

Kweli rage hakukosea kutuita mambumbumbu oya oya.
Mbumbumbu mwenyewe na ukoo wako wote hapo Yanga.
 
Back
Top Bottom