Sisi mashabiki wa Yanga tunasema Kaze afukuzwe

This is...

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
5,050
Reaction score
5,204
Kocha wetu amefeli sana katika idara zote mfano.

1.Ameshindwa kabisa kuunganisha timu kutengeneza kikosi cha ushindi. Angalia beki ya timu wanakatika Hadi wanagombana mfano Lamine na Mamnyeto

2.Uwezo wa kocha umefika kikomo baada ya hizi droo kinachofuata ni kupoteza point tatu kila mechi.

3.Usajili wa Fiston, Ni usajili mbovu Hana viwango kabisa Ni kumbwela mbwela uwanjani tu.

Mpira wa Yanga hauvutii,haijulikana Ni mfumo gani wanacheza Ni kubutua tu mpira uende mbele.

Mwanayanga mwenzangu unaweza kuongezea hoja hapa ili huyu kocha aweze kufukuzwa. Nafuu Mwambusi au yule aliyetuita manyani arudi kuinoa timu yetu wananchi.

Tunapaswa kuwa na Ile falsafa ya watani zetu Simbaya kumiliki kwingi, pasi fupifupi, si mnaona lile pira lao biriani lile. Heko mtani wetu Simba, Si kwa utopolo huu yanga wanaocheza.
 
Kaze hana kosa hata moja. Haiwezekani Uniletee Ndizi nikutengenezee juice ya Embe.

Tatizo la Yanga 90% ya wachezaj wamesajiliwa na GSM. Ni wachache sana waliosajiliwa kwa mapendekezo ya benchi la ufundi. Hatujui walitumia vigezo gani leo unakuja kumlalamikia Kaze aliekabidhiwa lundo la Wachezaji feki. Kaze anastahili kufukuzwa endapo tu yeye ndo alieleta wachezaji otherwise Mnamuonea tu kaze kwa uongozi wenu mbovu.
 
Kocha wetu amefeli sana katika idara zote mfano.
1.Ameshindwa kabisa kuunganisha timu kutengeneza kikosi cha ushindi.Angalia beki ya timu wanakatika Hadi wanagombana mfano Lamine na Mapunyeto...
Yanga haijawah kua na falsaf ya mpira birian kama unavyotaka review upya nn kilikufanya uipende yanga usimamie hicho

Kaze inn
 
Kocha wetu amefeli sana katika idara zote mfano.

1.Ameshindwa kabisa kuunganisha timu kutengeneza kikosi cha ushindi.Angalia beki ya timu wanakatika Hadi wanagombana mfano Lamine na Mamnyeto...
1. Kama ni team tayari ishaunganishwa sasa unataka aunganishe na Kama ?

2. Kutoa draw ni uwezo wa kocha kufika kikomo? Na team zinazofungwa inakuaje?umeshuka negative kikomo? Mpeni muda kocha acheni ujinga.

3. Fiston amecheza mech ngapi? Na usajili wa Ditram Nchimbi ambaye amekamilisha mwaka bila kifunga ni wa nani? Acheni ujinga. Wapeni muda wachezaji.
 
Yanga mshaingia kwenye mtego wa simba. Tayari mshaweweseka badala ya kutulia muendeleze mapambano mnaingia kwenye kulumbana baada ya droo mbili. Kumbukeni mnapoteza direction na ndio furaha kwa simba
 
Msichanganye mashabiki wa Yanga.
Mkakati wa sasa uliopo ni kususia ligi kuu.
Haki ya Mungu minasema leo Yanga isiposhinda ijitoe tu kwenye ligi.
 
Kaze hana kosa tatizo wauza magodoro wameleta wanariadha na wakulima wanatuaminisha ni wachezaji
 
Mbona mapema sana. Tulieni dawa iwaingie
 
Ukiona yanga inakuumiza roho hama nenda timu yoyote unayoitaka maana huualazimishwa kuishabikia yanga. Kama unaweza anzisha timu yako.
 
Kaze ni Surpong anaye fundisha [emoji28][emoji28][emoji28]
Huyu bwege kuna wakati huwa na akili za Sarpong sana! Mechi na Gwambina alitukosesha ushindi kwa kuchezesha kikosi cha pili ili kuwapumzisha wachezaji wake dhidi ya mbumbumbu fc! Siku ya mechi tukaambulia tu sare huku dk za mwisho wachezaji pumzi zikikata!

Mechi na Mbeya City, walau atajitetea uwanja ulikuwa mchafu! Lakini alitakiwa kuwapigia kelele mabeki wake wasifanye makosa dk za mwisho! Lakini ndiyo hivyo, wakakosa umakini! Mbeya City wakatoka kifua mbele kwa kupata sare.

Mechi na Kagera Sugar, kamuacha mchezaji muhimu nje na kumuanzisha tia maji tia maji Zawadi Mauya! Baada ya kumuingiza kipindi cha pili, hakuna hata goli lililo fungwa! Sasa kocha wa namna hii unamchukuliaje!

Na ole wake arudie tena ujinga wake na leo! Ametuletea Waburundi wenzake wote wanakula tu mshahara! Uwanjani hawaonekani! Yule Fiston sijui alimuokota wapi!!! Hana kabisa match fitness!
 
Ndio viongozi walimtaka baada ya kumtimua yule anyefanana na Pierre Liquid wakati alikuwa na records nzuri tu.

Sent from my SM-G900T using JamiiForums mobile app
 
Kocha wetu amefeli sana katika idara zote mfano.

1.Ameshindwa kabisa kuunganisha timu kutengeneza kikosi cha ushindi. Angalia beki ya timu wanakatika Hadi wanagombana mfano Lamine na Mamnyeto

2.Uwezo wa kocha umefika kikomo baada ya hizi droo kinachofuata ni kupoteza point tatu kila mechi.

3.Usajili wa Fiston, Ni usajili mbovu Hana viwango kabisa Ni kumbwela mbwela uwanjani tu.

Mpira wa Yanga hauvutii,haijulikana Ni mfumo gani wanacheza Ni kubutua tu mpira uende mbele.

Mwanayanga mwenzangu unaweza kuongezea hoja hapa ili huyu kocha aweze kufukuzwa. Nafuu Mwambusi au yule aliyetuita manyani arudi kuinoa timu yetu wananchi.

Tunapaswa kuwa na Ile falsafa ya watani zetu Simbaya kumiliki kwingi, pasi fupifupi, si mnaona lile pira lao biriani lile. Heko mtani wetu Simba, Si kwa utopolo huu yanga wanaocheza.
Matako wewe
 
1. Kama ni team tayari ishaunganishwa sasa unataka aunganishe na Kama ?

2. Kutoa draw ni uwezo wa kocha kufika kikomo? Na team zinazofungwa inakuaje?umeshuka negative kikomo? Mpeni muda kocha acheni ujinga.

3. Fiston amecheza mech ngapi? Na usajili wa Ditram Nchimbi ambaye amekamilisha mwaka bila kifunga ni wa nani? Acheni ujinga. Wapeni muda wachezaji.
Haelewi Mpira huyu achana nae
 
Kocha wetu amefeli sana katika idara zote mfano.

1.Ameshindwa kabisa kuunganisha timu kutengeneza kikosi cha ushindi. Angalia beki ya timu wanakatika Hadi wanagombana mfano Lamine na Mamnyeto

2.Uwezo wa kocha umefika kikomo baada ya hizi droo kinachofuata ni kupoteza point tatu kila mechi.

3.Usajili wa Fiston, Ni usajili mbovu Hana viwango kabisa Ni kumbwela mbwela uwanjani tu.

Mpira wa Yanga hauvutii,haijulikana Ni mfumo gani wanacheza Ni kubutua tu mpira uende mbele.

Mwanayanga mwenzangu unaweza kuongezea hoja hapa ili huyu kocha aweze kufukuzwa. Nafuu Mwambusi au yule aliyetuita manyani arudi kuinoa timu yetu wananchi.

Tunapaswa kuwa na Ile falsafa ya watani zetu Simbaya kumiliki kwingi, pasi fupifupi, si mnaona lile pira lao biriani lile. Heko mtani wetu Simba, Si kwa utopolo huu yanga wanaocheza.
Nguruwe hajifichi kama si sauti, basi, itakuwa kwa harufu yake.
 
Back
Top Bottom