Sisi Migambo pia tuheshimiwe. Naona kama tunatengwa sana

Sisi Migambo pia tuheshimiwe. Naona kama tunatengwa sana

Poti waache hao hawajui fatiki imelala hapo.nyie hata ikitokea vita mnakua ni jesh la akiba mnaenda front kuweka mambo sawa.sema kakuonea mbona wale madogo wan jkt wanapandaga bure.ifike mahali waheshimu zile nguo
Wana ufala mwingi sana hawa makonda. Ila kuna siku kitawaka tu.
 
Sasa unadhani wote tukikimbia hii kazi nani atafanya? Tuheshimiwe tu. Kwa nini sisi tulipe nauli na askari ,wanajeshi hawalipi?
Yaani hata mi ningekuwa konda nakudai tu, tena nakuaibisha kabisa. Nyie si ndio mnamwagaga masufuria ya wali ya mama zetu nyie!
Kuna mwenzio juzi alichezea kichapo hadi wapiga debe wote wamempiga.
Li kazi la kiherehere hilo nani ataona umuhimu wako?! 😏
 
ni kweli mgambo ni sehemu ya jeshi tena siku hizi mnaitwa jeshi la akiba serikali kama imeshindwa kuwalipa posho au mishahara basi hata nauli ingekuwa imetoa tamko kama kwa askari wa majeshi mengine kwamba msilipe nauli kwa sababu kuna baadhi ya maeneo mnamchango mkubwa sana wa kuleta amani na utulivu ktk nchi hii
Nakubaliana na wee.
 
Hao huwa wanaruka na kukanyagana, wote wanasimama, wanaruka kinyama..hawana mpangilio wanazingua raia
 
mgambo ni jeshi la akiba kwa maneno tu hakuna sheria iliyoanzisha mgambo ndio maana hawathaminiwi ni jeshi la baba wa taifa yaan wanashindwa na auxiliary police ambao wanalipwa mishahara na taasisi husika
 
Muungane mjenge KITUO chenu cha mgambo ili mkimshika mtu kwa kosa la uchaguzi wa Jiji mkamsulubu huko.
Heshima itakuja
 
Tunaandaa ukamataji wa makondakta wa dalalada wanatupa tupa tiketi hivyo wanachafua jiji. Yule konda na gari lake nililimaki. Atanieleza si anadai kupanda bure ni polisi na wanajeshi tu? Ndo tutaonana siku hiyo.
 
Back
Top Bottom