Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
-
- #21
Wana ufala mwingi sana hawa makonda. Ila kuna siku kitawaka tu.Poti waache hao hawajui fatiki imelala hapo.nyie hata ikitokea vita mnakua ni jesh la akiba mnaenda front kuweka mambo sawa.sema kakuonea mbona wale madogo wan jkt wanapandaga bure.ifike mahali waheshimu zile nguo
Yaani hata mi ningekuwa konda nakudai tu, tena nakuaibisha kabisa. Nyie si ndio mnamwagaga masufuria ya wali ya mama zetu nyie!Sasa unadhani wote tukikimbia hii kazi nani atafanya? Tuheshimiwe tu. Kwa nini sisi tulipe nauli na askari ,wanajeshi hawalipi?
[emoji23][emoji23][emoji23]reWazee wa kupiga mateke masufuria ya wali kwa mama ntilie!
Nakubaliana na wee.ni kweli mgambo ni sehemu ya jeshi tena siku hizi mnaitwa jeshi la akiba serikali kama imeshindwa kuwalipa posho au mishahara basi hata nauli ingekuwa imetoa tamko kama kwa askari wa majeshi mengine kwamba msilipe nauli kwa sababu kuna baadhi ya maeneo mnamchango mkubwa sana wa kuleta amani na utulivu ktk nchi hii
Madatari na walimu nao wasilipe maana ni watu wa muhimu sana kwenye jamiiSasa unadhani wote tukikimbia hii kazi nani atafanya? Tuheshimiwe tu. Kwa nini sisi tulipe nauli na askari ,wanajeshi hawalipi?
wagambo hawana mishahara wana posho tuMshahara shingapi, tuanzie hapo