Uchaguzi 2020 Sisi sio wajinga, Ulipochukua tu madaraka ukaanza na kubomoa nyumba zetu!

Majibu yote, Oct 28.Pumba na mahindi vitajulikana.
 
SISI CCM SIO WAJINGA PIA;

upanuzi wa Barabara unaousemea kutoka kibaha mpaka ubungo unafaida kubwa kwetu sisi wafanyabiashara na kwa wanaofanya kazi katikati ya jiji LA dar es salaam kwa sababu inaturahisishia uharaka wa kufika kwenye vituo vya kufanyia kazi ili kujipatia kipato chetu na taifa kwa ujumla kama sera unavyosema HAPA KAZI TU,

Hatuwezi kufanya kazi kwenye mazungira ambayo sio rafiki, awali kulikuwa na folen ambayo ilkuwa kikwazo kwa wafanyabiashara na ukizingatia hili ni jiji LA kibishara na kazi..

Pia,kampeni za ccm zinarushwa moja kwa moja kwenye media ya chama ambayo ni channelten na magicfm kama mnataka Uhuru wa kampeni zenu anzisheni media za vyama vyenu ili mpate Uhuru na haki za kufatilia kampeni zenu, kwa sababu kampeni na uwakilishi bungeni ni vitu viwili tofauti,, kuna media zinazorusha matangazo ya bunge kama azam media kupitia kipindi cha bungelive

SISI SIO WAJINGA PIA,,tuna akili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…