miwani ya maisha
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,733
- 2,511
Sasa hiyo ndege ya mizigo si ndiyo itakayoleta fedha za kuchimba visima upate maji safi maana huna utamaduni wa kulipa kodi.
Ndege angenunua moja tu ya kumpeleka kwa Mganga wake T.B JOSHUA!Amegeuza "manunuzi" kama mradi wake na washamba wenzake kumbe anapiga humo humo!Anatumia upendeleo wa "teuzi" zake kuwala wake zetu....SISI SIO WAJINGA!