Vijana wadogo wanataka mabadiliko bakin na wanufaikaHata wakati ule ulidanganya dunia hivyo hivyo!! Wewe hangaika na kizee chako cha kizungu hapo UK ya TZ hayakuhusu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wadogo wanataka mabadiliko bakin na wanufaikaHata wakati ule ulidanganya dunia hivyo hivyo!! Wewe hangaika na kizee chako cha kizungu hapo UK ya TZ hayakuhusu!
Hahaha jiandae tu ndugu yangu hiyo ni lazima!! Achana na huyo Sky Eclat yeye ana stress na kizee cha kizungu hapo UK kinampa stress ya kufa mtu!! Sasa huwa anaingia hapa JF kupunguza stress zake!Zaidi ya October tukubali kulala bila boksa milele
Mimi nipo ughaibuni, nitachukua hatua zipi zaidi ya kukemeaWewe umechukua hatua? Una uhakika gani kama tunavumilia ukandamizaji.
Vijana wadogo kwenye mikusanyiko ndiyo sehemu zao za kujidai lakini almost 75% ya hao siyo wapigakura!Vijana wadogo wanataka mabadiliko bakin na wanufaika
Kumbe nondo nilifikiri matofali.Hizi nondo zinazoshushwa wiki hii zitamzimisha mtu
Hapo kwenye 'sisi', anamaanisha sisi sote wenye akili timamu, tunaoipenda nchi yetu, tunaochukia unyanyasaji, tunaochukia ubaguzi, tunaochukia watu kutekwa, kupotezwa, kuuawa na miili kutupwa kwenye viroba. Yaani sisi tunaojua thamani ya utu wa mtu.Ungesema wewe siyo mjinga. Badala ya kuongelea nafsi ya mtu.
Mimi sipo hapo kwenye “Sisi”
Sisi sio wajinga. Ame tugawa Watanzania kikanda na kikabilaSISI SIYO WAJINGA.
Anajibu watu kwa nyodo, ana kiburi na dharau.
Jidanganye,kwa msoto huu akili zimekaa sawaVijana wadogo kwenye mikusanyiko ndiyo sehemu zao za kujidai lakini almost 75% ya hao siyo wapigakura!
MkuuUngesema wewe siyo mjinga. Badala ya kuongelea nafsi ya mtu.
Mimi sipo hapo kwenye “Sisi”
Anatamani azime mitandao,kazuia drone sababu ya homa ya Lisu,bila fiesta na malori hakuna nyomiHizi nondo zinazoshushwa wiki hii zitamzimisha mtu
Mbezi Luis Dar es salaam bado tunatumia maji ya chumvi
Hizo sheria zinabagua au so wa Mwanza wao Ni halali kuvunja sheria,rejea kauli za Hawa walinichagua,jiulize kwann watumishi anawashughulikia kuwakomoa eti walimpigia kura Lowasa.Hoja za kijinga sana hizi.
Unapinga maendeleo kwa kuhalalisha uvunjwaji wa sheria?
Mlilipwa fidia za kupisha upanuzi wa barabara kisha mkayauza maeneo hayo kitapeli....
Mengi uliyoandika hapo ni kuonyesha namna mnavyodharau sheria za nchi halafu mnalilia maendeleo....
Magufuli [emoji870] Tena
Mwanza msiwavunjie nyumba zao maana hao ndio walionipigia kura mpk nikawa rais-Mtetezi wa Wanyongeeeeeeee.Hoja za kijinga sana hizi.
Unapinga maendeleo kwa kuhalalisha uvunjwaji wa sheria?
Mlilipwa fidia za kupisha upanuzi wa barabara kisha mkayauza maeneo hayo kitapeli....
Mengi uliyoandika hapo ni kuonyesha namna mnavyodharau sheria za nchi halafu mnalilia maendeleo....
Magufuli [emoji870] Tena
Hoja za kijinga sana hizi.

Tatizo ni NEC, NEC, NEC !Duuh mkuu, huwa najiuliza hawa wanaomshabikia huyu jamaa haya hawayajui?? Wanaishi wapi hawa hata hawaguswi na mambo haya??
Wanapata wapi ujasiri wa kumuamini mtu huyu ambaye ametutenda kiasi hiki??
Kanjanja yeyote lazima aipige serikali kwa kudeal na vyeti fekiUnamfukuza mwalimu na daktari kwasababu ya vyeti feki ila unamuacha mwanajeshi mwenye vyeti feki kwasababu akiingia mtaani atakuwa jambazi. Nchi za Afrika zinachekesha sana mpaka zinatia huruma. Kama unapitisha sheria, kwanini wengine wabaguliwe? Akili ya viongozi wa ccm wanazijua wenyewe
Sheria zilitungwa kwa watu masikini na wasiojiweza tu.